Unalalaje lodge ya 80,000 na bado hujajipata

Hahaha.........hao sio wenzetu ujue πŸ€—
 
Braza inaonekana ulienda safari na pisi, mara unaona imeenda lodge ya 80,000 na wewe uwezo wako ni 40,000 🀣🀣🀣🀣
 
Hapana, mimi nipo kati ya hao 8😊
Apostle Kuna muujiza huku 😜

Kuhusu wewe nimekataa ndugu mjumbe, nakumbuka kwenye ile seminar ya mwisho ulijilipia pale Morena hotel tena room ya 120k πŸ€—
 
Tuliwahi kusafiri kikazi mkoa fulani tukapewa per Diem 230,000/= kwa wiki mbili......nikaenda kulala guest ya 10,000/= mpaka namaliza mambo yangu.......umbali wa eneo la kazi na hiyo guest gharama yake ni 3,000/= kwenda na kurudi......

Mama ntilie wapo kama hatua ishirini kutoka hapo na sahani ya wali inaanzia 1,500/= mpaka 3,000/= kwa VIP........

Kwa siku nilikuwa natumia 20,000/= Tu.........

Waliofikia hotelini project ilivyoisha walikuja kuniazima nauri za kurudia.......

MAISHA HAYA.....NI SAFARI NDEFU SANA
 
Wanawake wana matumizi makubwa ya pesa kila sehemu wala sio jambo la kushangaa hilo.
Hata bando we unaweza kutumia la buku tatu na unafanya kazi, yeye akatumia zaidi ya buku tano kwa siku na hana kazi inayomuweka mtandaoni.
 
Kampuni zozote za maana wanakuambia utafikia hotel flan. Brand kwao ni muhimu.
 
Nimejifunza kitu..Nikitumia pesa vibaya kuna mmoja kati yetu ntakopa kwake.πŸ˜‚
 
Punguza hasira mkuu, kama ulifukuzia mdada ukakuta anapolala ni ghali kuliko unavyoweza we kuwa mpole.

hotel ya hiyo bei lazima ukute rumu imetulia, hata ukilala na manzi nguvu za kiume zinarudi πŸ˜‚πŸ€£,

Asubuhi breakfast kali sio mkate na chai πŸ˜‚.

Acha ubahili mkuu, hulali mwaka mzima hapi, mpe mtoto maisha upate utamu wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ₯ΈπŸ₯Έ
 
Ukweli mtupu....mbususu ni mtaji mmoja mzuri sana kwa wadada tena ongeza na tako ndio kabisaaa
 
wanaume tunakwisha
 
Mleta mada ana hoja ila wadau wanamshambulia tu.

Ni sahihi kusema kwamba kwa perdiem ya 130,000 kutumia 80,000 kwa Lodge sio matumizi mazuri ya pesa.

Mpaka ulipwe 130,000 ina maana viwango vyako ni vya chini na unapaswa kubudget pesa kulingana na viwango vyako.

Mimi nakumbuka kuna mshkaji alijenga nyumba kwa pesa hizi hizi za safari, ndio alinipokea kazini.

Tukiwa safari ananielekeza namna ya kuishi mtu unaweza dharau hii hoja ila ina maana kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…