amini kwamba
Member
- Mar 8, 2026
- 6
- 13
sahihiI repeat, usifate exactly namba zangu. Weka zako zinazoendana na uhalisia wako. Goal is to cut expenses. Kama kuna ulazima wa kunywa litre 10 za maji basi hiyo expense ni ya lazima, angalia expense nyingine ambayo si ya lazima ikate.
Achana na huyo kiaziNimeweka elfu mbili kwa sababu mkuu.
Moja, maeneo mengine mengi nauli ni Tshs 500 kwenda, 500 jumla 1000 kurudi ila nimeweka 2000 kwa wale wanaopanda magari mawili.
Pili, ikiwa unalipa nauli zaidi ya hiyo basi bila shaka huenda ukawa unaishi pembezoni mwa mji ambapo unaweza kulipa kodi ya nyumba hadi 30k hivyo si vibaya ukatumia zaidi pesa kwenye usafiri.
Mwisho, ni vizuri uka-think outside the box.
Sio lazima gharama zako ziwe kama nilivyoandika hapo. Cha msingi ni kuwa flexible ili kuepuka kuishi maisha ya gharama na kusave pesa.
Sina acha tu waniue🤥Mkuu una mwanasheria😄
Najilipa 500k, nyumba 300k, dada 70k, school bus 110k (twins), umeme 50k, dawasa 15kWengi tunaishi hata hatuelewi mkuu, mtu anakunja 500k na anaishi lavishly, juilize sasa...
Unapenda vita eeeYaani unamuomba msamaha umeandika ukutani kwake? Ulimuita kweye nyuzi yako? Duhh kweli kaka umestaarabika🫠
Furahia maisha mkuu Hawa wanajua wataishi mileleWatu kama nyie siwapendi sana.. Mnaojifanya mnajua saana maisha. Buku tano kwa siku unakula na kunywa inatoshaje?? maji kwa siku unakunywa robo lita? au unashindia kandolo?? toka hapa
Nimegundua ni mtu wa kubisha kila kiti.Achana na huyo kiazi
Mwambie akupe na marioo allowance haiwezekani usukume gurudumu la meli uambulie pesa ya mkate!Kuna jimama nampelekea moto, Ndo ananilipa hy kwa mwezi mana anasema nna kibamia 😎
ZAidi ya 80% ya maisha yetu yanategemea uwezekano😀,180,000 yetu ipo pale mfuko wa shatiKwahiyo tunaishi kwa probability 😦
Sawa, kila Ushauri ni sawa kwa kuzingatia nini unataka.Furahia maisha mkuu Hawa wanajua wataishi milele
Kuna mtu ananizidi mshahara mara nne, kabla ya marupurupu ila sina mwaka kazini lakini ameishanikopa mara tano. Ila yeye na wenzake wakimaliza kazi wanapita viwanja wanajua mademu kila kona. Ukifanya uchukue funguo zao, saa mbili usiku ndio wanagundua kumbe hawajabeba funguo wakati kazini wametoka saa kumi. Wakienda semina sijui safari, wanapanga mademu kabla. They are in 40s, 50s.Watu wanakunja 3m kila mwezi na kila ikifika 15th wanaomba salary advance 😅😅 haya maisha bwana, 'kadri unavyopanua...."
Kama kula🤸🏽♀️Unapenda vita eee
NaamNdo maana nanyetuka tu daily ili nipoteze stress
Mkuu ondoa fedha kama mafanikio na uangalie uzur wa maishaSawa, kila Ushauri ni sawa kwa kuzingatia nini unataka.
Wiki ya nne babu yako amemeza shoka😂Wiki ya kwanza ya mshahara:
Kaka tuma hela nyumbani baba mgonjwa
Wiki ya pili:
Mwanangu unakumbuka lile deni, sasa wamenikalia kooni, itabidi niabidhio wewe ndio kiongozi sasa
Wiki ya tatu:
Tumefiwa na mjomba wako, na familia haina hata hela mazishi, kwa hiyo tunahitajio mchango wako:
Wiki ya nne:
.............................................
Hapana, nimegundua ni "much know" "closed mind" and "poor at communication". Hivyo kubishana nae ingekuwa wastage of energy and resources.Yaani unamuomba msamaha umeandika ukutani kwake? Ulimuita kweye nyuzi yako? Duhh kweli kaka umestaarabika🫠
Una uhakika hujawahi kuiona?Bima ya mwaka 75k umeona wapi mkuu embu acheni ku fake advice
Hapo sasa ndio utakubali kuwa to get rich inabidi uwe "psychopath " kidogo 🤣Wiki ya nne babu yako amemeza shoka😂
Wiki ya 5 binti ulompa mimba kajifunguaa..