Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

Hana tofauti na wewe uliyeweka uzi wako...

Acha kila mtu afanye mambo yake kwa uhuru wake...
 
Siku hizi maisha yamerahisishwa, una mute, block au kufuta kabisa namba😂😂ila tu nina roho mbaya kinoma,

Nje ya mada mi hata tukigonga zaidi ya mwaka bila kuwasiliana nakufuta kwenye phonebook yangu
Una psychological issues...contact ikibaki inapunguza nini? Manake hizi za siku hizi simu hazojai contacts useme inamaliza space. Yaani unakaa na kuhesabu flani hajanipigia so namdelete! Seriously?
 
Binafsi huwa siamini mtu anajipost kwa siku picha kumi yeye tu kiukweli sijajua kama ndio matumizi ya status tena kwa kidume ni kukoswa kazi
Wewe unamchukuliaje mtu ambae anakaa kwenye simu kuangalia status za watu?!.. tena unakuta ni kidume kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una psychological issues...contact ikibaki inapunguza nini? Manake hizi za siku hizi simu hazojai contacts useme inamaliza space. Yaani unakaa na kuhesabu flani hajanipigia so namdelete! Seriously?

Ana matatizo ya akili si bure haswa msongo wa mawazo [emoji1787][emoji1787]
 
Una psychological issues...contact ikibaki inapunguza nini? Manake hizi za siku hizi simu hazojai contacts useme inamaliza space. Yaani unakaa na kuhesabu flani hajanipigia so namdelete! Seriously?
Simu ni yangu kama siwasiliani na namba husika nafuta usinipangie psychologist
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Kak mmi huwa naona keep sna Kuna jmaaa angu mmoja alikuwa na post Sana kila takataka demu ake akanifata akanimbia mwambie mshakji wako aache kujipost kila Mara na kupost ujinga nkagundua kumbe siyo mm pekee nakerekaa nilichokifanya nikamute mpk leo sijui anaendeleaje huku ushamba sna
 
Simu ni yangu kama siwasiliani na namba husika nafuta usinipangie psychologist
Futa but haiondoi ukweli nlokwambia, it goes to show you have anticipation issues when not met you turn supper mad into an uncontrolled rage and delete contact spree, jiamini, wao huko wana namba yako wala hawajadelete na ipo siku wakiwa na uhitaji nawe watakupigia iwe kwa faida yao ama yako
 
Ana matatizo ya akili si bure haswa msongo wa mawazo [emoji1787][emoji1787]
Chief ni kweli, watu tuna mental issues, imajini mtu anaiadhibu contact kwa kuidelete and she gets satisfaction out of that
 
Back
Top Bottom