Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Ni kwamba alikuwa hivyo tangu hujawa nae. Wasioenda club wapo wewe kwanini uwe na huyo? Uchaguzi wako haukuwa sahihi...
Wewe unavyotoka na mishangazi anakuvumilia mbona
Hey Demi ujaelewa kitu kimoja..
Even mi nafanya ujinga wangu but this is too much .

Hv ushawahi angalia nyimbo za visingeli.
Yupo na wahuni sijui mashisha yale anapuliza an anashikwa shikwa then useme anavumilia mm navyokua na mashangaz wakat hajawahi ni shika on target..

Still enough anatuma mpaka status..
Juzi naongea nae anasema anaenda tandika kwa mdogo wake kumbe ndo siku hiyo kaenda kulewa kumalija kule...

Mtu unamchukulia smart unapanga nae mengi tuu demi hii isikie tuu inauma huyu mtu nimewekeza sana kwake is not about money ila tu mentally nimeweka vingi kwake
 
Wengi wao hujikuta Wamelala sehemu hata hawazijui... Kuna mmoja alijulia pombe na viwanja ukubwani kilichokuja kumtokea hatosahau mpaka kiama.
 
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Kwani ni lazima umheshimu anayelewa. Tafuta asiyelewa ndio umheshimu mbona wapo wengi tu wasiotumia kilevi?
 
Wewe ndo mwenye shida, sasa mdada kulewa na kubambiwa tàtizo liko wapi? Kàma huna hela za kumlewesha na kumbambia anakuona tàkataka tuu.
Nilikua nakuheshimu sana mkuu..
Ila kwa sasa acha nikwambie tuu ukweli umezingua
 
Mkuu sio kwamba sijui kuchagua.. kuna mijitu inajificha sana katika kupindi cha courtship...
Sasa huyu sijui alikua na mavi kichwani mpaka kashindwa kuwa humble kwanza..

An seriously anaweka na status yaani kagala gala chini kabisa jamni
Pandisha hiyo status hapa jukwaani tuone ukubwa wa tatizo
 
Back
Top Bottom