Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

Wengi wao hujikuta Wamelala sehemu hata hawazijui... Kuna mmoja alijulia pombe na viwanja ukubwani kilichokuja kumtokea hatosahau mpaka kiama.
Mdada anayekunywa pombe na anajua kabisa awezi jimudu huyo hana akili facken kabisa
 
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.

I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
Kwani c ulikua useme tu kumbe ni mlevi

Najua watakuja wanywaji wajitete apa kuwa kuna wanywaji na walevi ila me w
nasema wote ni walevi tu 😄
 
Acha watu wale raha..maisha ya duniani ni mafupi sana.
Afu nikuambie kitu we mlokole,hao wadada unaoona wanakunywa pombe sijui ni waenda disco,huwa hawatombeki kirahisi kama hao walokole wenzio.
Sio kweli mwanamke yoyote mlevi kutombeka ni mwepes kama pamba 😄
 
Back
Top Bottom