Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Nyie ndiyo mnakuja kusumbua watu uzeeni eti wakufuge huna kwako!!
 
Kwahiyo ndege na maji, bora ndege? Unajua amenunua iPhone kwa matumizi gani?
Inabidi utafute mume uwe unampangie matumizi yake
Pole sana.
Mbona una hasira sana kwenye pesa za watu. Kuwa shouger ili upate pesa
Watu watafute pesa kwa jasho lao halafu uwapangie matumizi.
Hujui ndege ni biashara?

Hiyo iphone unafanyia biashara gani?

Hovyo kabisa
 
Kuna mzee amekuja kwako kuomba hifadhi?
Mbona unahangaika sana na maisha ya watu?
Tafuta kazi ya kufanya, uwe busy kuboresha maisha yako.
Ukiwa na roho ya kimasikini ndiyo matokeo yake haya. Unaona km watu wanafuja pesa.
Tafuta kazi ya kufanya, uwe busy ili ufanye maisha yako yawe mazuri.
Ni hilo tu
Nyie ndiyo mnakuja kusumbua watu uzeeni eti wakufuge huna kwako!!
 
IPhone 13 imetoka na watu wanaenda kununua na hawana kiwanja.
Nenda kawashitaki polisi ili wafungwe maisha jela.
Nyie ndiyo mnakuja kusumbua watu uzeeni eti wakufuge huna kwako!!
 
kufikiri kujenga wakati wewe bado ni kijana ni woga wa maisha... kwanza maisha si lazima ujenge unaweza kuishi kwenye apartments tena its more safe.
 
huu ndo ukweli
 
Umenikumbusha mzungu mmoja (alikuwa technical advisor) alikuwa pia anashangaa ofisini kwake mhudumu wa ofisi ana smart phone ya laki mbili wakati ana kimshahara kidogo na kila siku anamuomba pesa yule mzungu. Mzungu yeye ana kasimu kadogo tuu wakati mshahara wake ni karibia milioni saba...
 
Mbona serikali yako inanunua ndege kwa cash lkn kuna baadhi ya shule hazina maabara, na wanakaa chini?
Kuna vijiji havina maji tangu 1961 mpk leo lkn serikali haijaweka miundombinu ya maji lkn inazidi kununua ndege kwa cash
Ndio maana kila mtu anawafuasi wake wanao fanana akili. Vile ukifanya hili kwa mtazamo wako ukizani ni zuri wapo watakao kukosoa na watakuja na sababu za msingi.
 
Kweli kabisa toka nione hii mada ninefanya utafit usio rasmi mitaan na kwny madaladala wachache sana wana simu za gharama zaidi ya laki 3..

Wengi wanao miliki simu kali ni waajiriwa na wanachuo...
 
ni maamuzi tu mbona ?

mtu unaweza ukauza gari ukakodi tax ni vile mtu anaamua usitupangie maisha akili ni nywele na kila mtu ana zake
 
Kama wana pesa kwanini wana shindwa kujitegemea, wanakaa kwa mjomba, shangazi mala shemeji pesa yao kazi yake ni kununua iPhone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…