Na weee ni mpuuzi kama wapuuzi wengine wanaoamini kuwa mavi ya wazugu nibora kuliko ya ngozi nyeusi.Daaah, umenikumbusha kuna mzungu mmoja aliwahi tembelea Afrika nafikiri West africa. Basi alivyorudi huku siku moja tukawa tunapiga nae stories vitu alivyoviona huko West Africa. Alinambia waafrica sio maskini kama tunavyojitangaza ila ni akili zetu kidogo zina mushkeli, aliongea kama wewe ulivyosema hapo, huko alikutana na watu wanamiliki simu mbili mbili zote za bei mbaya lakini ukienda makwao maisha wanayoishi ni duni sana kitu ambacho wao wazungu hawafanyi. Na hizo simu mbili unakuta watu wanamiliki kwa show off hamna lolote la maana wanafanya nazo.
Umasikini ukipanda kichwani ni hatari