King_mwanamalundi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 373
- 558
Kuna kipindi waingereza walimperekesha kidogo aiuze timu, yupo UK kwa pass ya uyahudini siku hiziMkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Mkuu, baada ya kutoka jela sio kwamba alienda kuishi Ujerumani?Ni Myahudi. Anaishi Israel.
Baada ya kutoka jela, alienda kuishi uhamishoni nchini Uhispania. Baadaye, ndipo akahamia Israel.Mkuu, baada ya kutoka jela sio kwamba alienda kuishi Ujerumani?
Hio ni kawaida ya madikiteta wote Duniani ila kuna Watu wanawashangilia, kuna Watu wataisifia urusi. akili kichwani
UK wanaijua historia ya Urusi na utawala toka enzi za vita baridi,yaani wanawajua warusi kuliko mimi na wewe,..Point yangu ni kwamba ukishamjua jirani yako ni mwizi na yeye anaajua kuwa unajua,hiyo ni hatua kubwa sana,unaweza hata ukamwachia nyumba yako na asiibe.So hata Abramovich anajua kuwa UK wanajua yeye ana uhusiano wa karibu na Putin,so hawezi fanya ujinga sababu waingereza hadi wampe team in naama walikuwa washamuweka kwenye darubin yao pia...Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Inasemekana yupo Israel ingawa bado sina uhakika. Ngoja nifuatilie kisha nitakujuza taarifa sahihi mkuu.Kwa hiyo saa hivi anaishi wapi
Yaa ni kweli yuko huko israel nishafatilia.Inasemekana yupo Israel ingawa bado sina uhakika. Ngoja nifuatilie kisha nitakujuza taarifa sahihi mkuu.
Not every aspect of state security should be clarified to politicians/citizens.Mwandishi Ni mshabiki wa mauaji yaso hatia , anawatetea waziwazi wahusika wa shambulio baya kabisa la mwaka 1999 lilioua makumi ya watu. Wauaji Wala hawakua chenchen ilikua fsb.imesemwa.
Bado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa. Ambapo kiukweli matukio mengi ya aina ya mlipuko wa Moscow, mauaji ya watu wenye mawazo kinzani, hayafanywi tu kwaajili ya maslahi ya taifa., Bali hufanywa kwa maslahi ya wachache pengine hawazidi 15.. Hawa malengo yao hua kubaki Madarakani kwa miaka nenda wakila na kufurahi.Not every aspect of state security should be clarified to politicians/citizens.
Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa
Sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians. Mfano wabunge wanaowakilisha majimbo mbalimbali ndani ya jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Informers wa Police" wote waliopo ndani ya jiji...www.jamiiforums.com
Mkuu, kabla sijakujibu, kwanza "HAPPY NEW YEAR 2021" hatujaonana muda mrefu sana aiseeBado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa. Ambapo kiukweli matukio mengi ya aina ya mlipuko wa Moscow, mauaji ya watu wenye mawazo kinzani, hayafanywi tu kwaajili ya maslahi ya taifa., Bali hufanywa kwa maslahi ya wachache pengine hawazidi 15.. Hawa malengo yao hua kubaki Madarakani kwa miaka nenda wakila na kufurahi.
Ni ajabu tukio la kutisha kama lile lilikua tu kuongeza ushawishi wa Putin na pia kuhalalisha uvamizi wa ChenChen.
Cha ajabu zaidi wapo watu Ni watetezi wa uovu kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa!
Inatisha
Uingereza walimfungiaga vioo roman kisa Ni mrusiMkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Uwe wa furaha pia kwako br.Mkuu, kabla sijakujibu, kwanza "HAPPY NEW YEAR 2021" hatujaonana muda mrefu sana aisee
Hahahaha umetisha mzee ukumjua mwizi upati shidahUK wanaijua historia ya Urusi na utawala toka enzi za vita baridi,yaani wanawajua warusi kuliko mimi na wewe,..Point yangu ni kwamba ukishamjua jirani yako ni mwizi na yeye anaajua kuwa unajua,hiyo ni hatua kubwa sana,unaweza hata ukamwachia nyumba yako na asiibe.So hata Abramovich anajua kuwa UK wanajua yeye ana uhusiano wa karibu na Putin,so hawezi fanya ujinga sababu waingereza hadi wampe team in naama walikuwa washamuweka kwenye darubin yao pia...
ThanksUwe wa furaha pia kwako br.
Mkuu, kwanini wewe haupendi nchi yako ipate maslahi?...Bado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa.
Rostam Aziz? Labda ungesema "MO" wa simba.`Sijakariri jina lake but ukiufungua utakutana na historia ya huyu mwamba na jinsi alivyofanikiwa kuwaweka marais kama 2 hivi madarakani including huyu wa sasa hivi. Dunia ina siri nyingi sana, yaani Roman ni kama Rostam Azizi kwa Tanzania
Suala la uhusika wa Putin pamoja na FSB hizo ni tetesi/tuhuma za kisiasa tu na bado hazijapata udhibitisho wowote ule mkuu.Bado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa. Ambapo kiukweli matukio mengi ya aina ya mlipuko wa Moscow, mauaji ya watu wenye mawazo kinzani, hayafanywi tu kwaajili ya maslahi ya taifa., Bali hufanywa kwa maslahi ya wachache pengine hawazidi 15.. Hawa malengo yao hua kubaki Madarakani kwa miaka nenda wakila na kufurahi.
Ni ajabu tukio la kutisha kama lile lilikua tu kuongeza ushawishi wa Putin na pia kuhalalisha uvamizi wa ChenChen.
Cha ajabu zaidi wapo watu Ni watetezi wa uovu kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa!
Inatisha
Putin ni immortal i love this heroWhen the first man discover the phone, He had already two missed call from Putin