Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
UK wanaijua historia ya Urusi na utawala toka enzi za vita baridi,yaani wanawajua warusi kuliko mimi na wewe,..Point yangu ni kwamba ukishamjua jirani yako ni mwizi na yeye anaajua kuwa unajua,hiyo ni hatua kubwa sana,unaweza hata ukamwachia nyumba yako na asiibe.So hata Abramovich anajua kuwa UK wanajua yeye ana uhusiano wa karibu na Putin,so hawezi fanya ujinga sababu waingereza hadi wampe team in naama walikuwa washamuweka kwenye darubin yao pia...
 
Mwandishi Ni mshabiki wa mauaji yaso hatia , anawatetea waziwazi wahusika wa shambulio baya kabisa la mwaka 1999 lilioua makumi ya watu. Wauaji Wala hawakua chenchen ilikua fsb.imesemwa.
Anaamini mauaji Kama Yale Ni sahihi eti Ni uzalendo juu ya taifa na anaamini pia kila aliyeunga mkono dalili za uhusika wa Putin basi Ni beberu.
 
Mwandishi Ni mshabiki wa mauaji yaso hatia , anawatetea waziwazi wahusika wa shambulio baya kabisa la mwaka 1999 lilioua makumi ya watu. Wauaji Wala hawakua chenchen ilikua fsb.imesemwa.
Not every aspect of state security should be clarified to politicians/citizens.

Bado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa. Ambapo kiukweli matukio mengi ya aina ya mlipuko wa Moscow, mauaji ya watu wenye mawazo kinzani, hayafanywi tu kwaajili ya maslahi ya taifa., Bali hufanywa kwa maslahi ya wachache pengine hawazidi 15.. Hawa malengo yao hua kubaki Madarakani kwa miaka nenda wakila na kufurahi.
Ni ajabu tukio la kutisha kama lile lilikua tu kuongeza ushawishi wa Putin na pia kuhalalisha uvamizi wa ChenChen.
Cha ajabu zaidi wapo watu Ni watetezi wa uovu kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa!
Inatisha
 
Mkuu, kabla sijakujibu, kwanza "HAPPY NEW YEAR 2021" hatujaonana muda mrefu sana aisee
 
Mkuu, sasa inakuwaje mtu anayesemekana kuwa ni "Jasusi" wa Urusi kuweza kununua club kubwa (kumiliki asilimia kubwa ya hisa) nchini Uingereza ilhali inajulikana fika kuwa hizi ni nchi mbili mahasimu?
Uingereza walimfungiaga vioo roman kisa Ni mrusi

Jamaa akaona Hawa Jamaa wajinga Sana

Anakimbilia Israel akapata uraia na passport huko .

Passport ya Israel unazama tu uingereza bila kubughudhiwa.
 
UK wanaijua historia ya Urusi na utawala toka enzi za vita baridi,yaani wanawajua warusi kuliko mimi na wewe,..Point yangu ni kwamba ukishamjua jirani yako ni mwizi na yeye anaajua kuwa unajua,hiyo ni hatua kubwa sana,unaweza hata ukamwachia nyumba yako na asiibe.So hata Abramovich anajua kuwa UK wanajua yeye ana uhusiano wa karibu na Putin,so hawezi fanya ujinga sababu waingereza hadi wampe team in naama walikuwa washamuweka kwenye darubin yao pia...
Hahahaha umetisha mzee ukumjua mwizi upati shidah
 
`Sijakariri jina lake but ukiufungua utakutana na historia ya huyu mwamba na jinsi alivyofanikiwa kuwaweka marais kama 2 hivi madarakani including huyu wa sasa hivi. Dunia ina siri nyingi sana, yaani Roman ni kama Rostam Azizi kwa Tanzania
Rostam Aziz? Labda ungesema "MO" wa simba.
 
Bado hujatoka kwenye ukweli kwamba we ni miongoni mwa mashabiki kindakindaki kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa. Ambapo kiukweli matukio mengi ya aina ya mlipuko wa Moscow, mauaji ya watu wenye mawazo kinzani, hayafanywi tu kwaajili ya maslahi ya taifa., Bali hufanywa kwa maslahi ya wachache pengine hawazidi 15.. Hawa malengo yao hua kubaki Madarakani kwa miaka nenda wakila na kufurahi.
Ni ajabu tukio la kutisha kama lile lilikua tu kuongeza ushawishi wa Putin na pia kuhalalisha uvamizi wa ChenChen.
Cha ajabu zaidi wapo watu Ni watetezi wa uovu kwa kile kiitwacho maslahi ya taifa!
Inatisha
Suala la uhusika wa Putin pamoja na FSB hizo ni tetesi/tuhuma za kisiasa tu na bado hazijapata udhibitisho wowote ule mkuu.
 
Back
Top Bottom