Uchaguzi 2020 Unamkumbuka Kasusura? Kaka yake atia nia Biharamulo

Wajenge wakati wanahama kila msimu
Kwasasa wameweka makazi ya kudumu na wanauwezo wa kiuchumi tatizo wamekosa akili kwa ng'ombe walionao wangeweza kujenga mashule na mazahanati wakapata huduma karibu
 
Biharamulo haijulikani uchumi wake umeenea wapi?
Wengine wamehamia pale watakaa muda mrefu ile misitu ni mikubwa tangu 2005 wengine wapo pale
 
Wasubi nao wao ukabila tu kama wahaya sema hawakusoma na hupenda kujiita wahaya
Wasubi hawana ukabila sema wana ujinga mwingi huwa hawapendi kujiita wasubi wanafurahi kuitwa Wahaya hata watu wa Ngara wakiitwa Wahaya wanafurahi mno kuliko waitwe wahangaza au washubi
 
Jimbo la biharamulo tunampa pendo ngonyani wa chadema
 
Biharamulo haijulikani uchumi wake umeenea wapi?
Biharamulo haina uchumi wowote hata ikitokea fursa ya ajira, madini, kilimo, na ufugaji humezwa na wasukuma na Wahaya na kuacha wasubi katika lindi la umasikini
 
Wasubi hawana ukabila sema wana ujinga mwingi huwa hawapendi kujiita wasubi wanafurahi kuitwa Wahaya hata watu wa Ngara wakiitwa Wahaya wanafurahi mno kuliko waitwe wahangaza au washubi
Wasubi wanamatatizo ya ujuaji na ushamba
 
Biharamulo haina uchumi wowote hata ikitokea fursa ya ajira, madini, kilimo, na ufugaji humezwa na wasukuma na Wahaya na kuacha wasubi katika lindi la umasikini
Wasubi ipo siku watajikomboa maana mbasa naye alikuwa garasa tu
 
Wasubi wanamatatizo ya ujuaji na ushamba
Nimesoma katoke seminari miaka kama 24 iliyopita nawafahamu sana wasubi ni watu wa ajabu mno labda wapate mbunge kama Magufuli atakaye watafunia na kuwalisha vinginevyo wataendelea kuwa masikini wa kutupwa
 
Nilivyomaliza kusoma comment imebidi nirudi juu kuangalia username. Nilijua fika nitakutana na jina la kihaya! Mna matatizo sana ninyi watu
 
Kweli wasubi wanamatatizo ya asili na sumu kali ya wao kwa wao eti abhasubi twemanye kuwa wao kwa wao kwanza
 
Hahahah hilo lipo kotekote kihaya na kisubi
Nilivyomaliza kusoma comment imebidi nirudi juu kuangalia username. Nilijua fika nitakutana na jina la kihaya! Mna matatizo sana ninyi watu
 
Kabisa Biharamulo na ngara ndio wilaya masikini katika mkoa wa Kagera
Ila Biharamulo imezidi ukifika nyakahula na Lusahunga kuna umasikini waliotopea
Nyakahura/Muzani palee uswahilii mwingii,, unakuta vijiwe vya kahawa kibaoo, kinachozungumzwa hapo ni kujadili watuu na sio kujikwamua kimaendeleo. Chaa ajabu wanaume na vijana wakiume ndio number 1 kwa umbeaa,, !! Wakija wageni wasukumaa wenye hela zao kwa ajili ya kuwekeza wanakutana na vikwazo kibao Tena kutoka kwa viongoz etii wanapata wap hizo hela, maraa wao ni majambaz etc...
 
Nilivyomaliza kusoma comment imebidi nirudi juu kuangalia username. Nilijua fika nitakutana na jina la kihaya! Mna matatizo sana ninyi watu
Ukweli wasubi bado wako mbali mno na kama hakuna juhudi za makusudi wataendelea kuwa nyuma zaidi
 
Aisee!! Then likishatoweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…