Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Inawezekana form 2 kwanumri huo mwingine kashafika
Binafsi nilikuwa domo zege na wala sikuwahi kufanya mapenzi kipindi hicho Nilimpenda demu Moja anaanza na jina la G bahati mbaya huyo demu akaama shule niliyokuwa nasoma nae akaamia shule nyingine kutokana na jinsi nilivyokuwa nampenda nikawalazimisha Wazazi wangu waniamishe kwenda hiyo shule aliyooenda huyo demu na kweli nanikafanikiwa nikakatuna nae tulikuwa tunakimbizana kama vile shelikani na karen's kapoor, tulikuwa tunasaidiana kwenye chumba Cha kufanya mitihani maana mimi nilikuwa mkali wa hesabu mbovu kwenye somo la English alafu yeye alikuwa mzuri sana kwenye english mbovu kwenye math's.Baada ya kumaliza form iv nilikuwa naenda kila weekend nilikuwa naenda karibu na kwao kupiga Mingo ilimradi tu nimuone.

Pamoja na movement zangu zote kea huyo binti sijawahi kumla huyu binti zaidi ya kumpiga mate na kumchezea tu ingawa nilikuwa na position nzuri siku moja ya kufanya nae mapenzi lakini niliogopa kufanya nae mapenzi ila now days huyo manzi ameshaolewa.
Extrovert
Antonnia
Beesmom
Cillah
mzabzab
 
Alafu hapo ukute baada ya yote HAYO bado kuna siku ulimtema kwa kuona sio type yako
 
Mjukuu WA Mzee mwakamomola na bwana MBWANJI MBWAX
 
Kila sehemu wivu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Inawezekana form 2 kwanumri huo mwingine kashafika
Binafsi nilikuwa domo zege na wala sikuwahi kufanya mapenzi kipindi hicho Nilimpenda demu Moja anaanza na jina la G bahati mbaya huyo demu akaama shule niliyokuwa nasoma nae akaamia shule nyingine kutokana na jinsi nilivyokuwa nampenda nikawalazimisha Wazazi wangu waniamishe kwenda hiyo shule aliyooenda huyo demu na kweli nanikafanikiwa nikakatuna nae tulikuwa tunakimbizana kama vile shelikani na karen's kapoor, tulikuwa tunasaidiana kwenye chumba Cha kufanya mitihani maana mimi nilikuwa mkali wa hesabu mbovu kwenye somo la English alafu yeye alikuwa mzuri sana kwenye english mbovu kwenye math's.Baada ya kumaliza form iv nilikuwa naenda kila weekend nilikuwa naenda karibu na kwao kupiga Mingo ilimradi tu nimuone.

Pamoja na movement zangu zote kea huyo binti sijawahi kumla huyu binti zaidi ya kumpiga mate na kumchezea tu ingawa nilikuwa na position nzuri siku moja ya kufanya nae mapenzi lakini niliogopa kufanya nae mapenzi ila now days huyo ma ameshaolewa
Nilikuwa naogopa wanawake kama kambi ya jeshi
Ulikuwa kama mimi mkuu
 
Tunasubiri
Nina hakika yupo humu apo nikiendelea zaidi atanijua.
Kuna siku alikuja kwangu nikamfuma akiperuzi humu japo sikufanikiwa kuona ID yake ila najua yupo humu.

Ila mjua kuwa humu JF tuna pisi Kali sana ukiziona huwezi amini aisee.
 
Aya poa
 
Mapenz ya shule wachache waliowahi kusex
 
Daah! Shule sikuwahi kuwa na mpenzi japo ya kupendwa Sana Ila yooote ilikua ni kutunza uaminifu Kwa bint aliyenizidi miaka 2 ambaye alishamaliza shule Ila hata baada ya hapo nilimwacha kijinga Sana kisa wivu wangu mpaka Sasa sijawahi kuwa na mwanamke mwingine mapenzi yangu yote yapo kwenye coding daah hata tunda sikunusa mmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…