Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Huyo ndie mwanaume anayeweza kukoa na kuwa na highest degree of responsibility na wewe. Ajabu wanawake wengi huwa hamuwaelewi matokeo yake mna fall kwa matapeli.
Sijuagi hata huwa inakuaje 😓😓
 
Ilikuwa tarehe 16, mwezi wa pili mwaka Fulani siku ya jumatatu Sito isahau maisha.

Ndio siku ya kwanza naripoti shuleni form one. Shule yetu ilisifika Kwa uhuni hivyo walimu walikuwa wakali sana.

Basi wakati tunatoka break tunarudi madarasani nilichelewa kidogo nikakutana na teacher mmoja akanitandika viboko kama nyoka [emoji3525].

Niliporudi class nikakaa jasho linanivuja nikasikia sauti "pole yule teacher mnoko sana ila usijali utazoea tu" kugeuka nikakutana na sura ambayo naweza sema sijawahi ona sura nzuri kama Ile, simaanishi kuwa hakuna mrembo kama yule duniani lakini kwangu Mimi alikuwa the best Kwa wakati ule.

Nikajibu ahsante huku nikiwa bado namtazama Kwa mshangao mtoto wa watu akaachia tabasam ambalo nikiri Kwa mara ya kwanza nikakubaliana na ule usemi kuwa mwanamke ni pambo.
Wakati nikiwa bado na mshangao mtoto wa watu akatoa leso akanipa ndo kwanza nikashtuka kumbe nilikuwa natiririka jasho.

Ikabidi nipokee daah!!
Dam km Dam tofauti hapa ww ni Dam55 af mi ni Dam Boe
 
Kama hujapitia huwezi amini, ila mi nilikua najiona cha mtoto kuna mwamba tulimaliza nae la saba alikua akimla mwalimu wetu wa kingereza tangu tukiwa la sita, mshikaji alikua na 17years na teacher 24years, na alimpa adi mimba mwamba akiwa form 1,

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Khaaa! Kuna watu mlianza kukichafua zamani 😂😂😂
 
Sijui nimtaje😀😀😀😀 maeneo flan hivi ya walima parachichi tukuyu yeye yupo kayuki girls Mimi nipo Rungwe boys.likizo anapelekwa dar tuition basi anapandisha mashetani eti hayataki aishi dar kumbe amenimisi muhuni tulikuja kuachana kisa wivu wangu uliopitiliza
 
Ndo shida ya kusoma uboyzn......eneway kipindi kile skuwa hata na habari kama kuna mapenzi ni misuli tuu
 
1. Alinilipia deni la vitabu viwili vilivyoibiwa nikiwa kidato cha pili mwezi wa 11 bila ya mimi kumfahamu. Nikiwa kidato cha tatu niliibiwa begi na vitabu ndani yake, wakati nimefikishwa staff natishiwa adhabu, alikuja na vitabu vipya viwili na kumkabidhi yule mwalimu. Mwalimu akamuuliza, "Tena! Unamlipia deni kwa mara nyingine! Kwani wewe na huyu ni ndugu?". Kesi ikaishia hapo. Wiki moja baadae alinifungukia, japo alikuwa anatetemeka na kutokwa jasho jingi huku akimung'unya maneno[emoji23][emoji23]

2. Kuna kipindi nilichelewa kufika shuleni kwenye zamu ya yule mwalimu aliyekosana na mkewe[emoji23][emoji23] Akanipatia adhabu ya kufanya usafi ofisi ya taaluma baada ya muda wa vipindi. Huyu kaka alinambia nikapumzike mahali, yeye atafanya peke yake. Na kweli alisafisha vyema mpaka walimu wakanisifia kesho yake

3. Kuna mwalimu mmoja hivi wa kiume alikuwa ni zoazoa, anatumia nafasi yake kulazimisha ngono. Baada ya kuona napingana nae alianza kunipatia adhabu za hapa na pale na vipigo. Kuna siku kanikata kibao cha nguvu darasani bila kosa, huyo kaka kainuka pale na kumpatia kipigo maskini[emoji23] mpaka mdomo wa yule mwalimu mshnz ukapasuka vipande viwili kama pazia la hekalu[emoji23] Akafukuzwa shule kwa kunitetea mimi

Nimeyakumbuka haya yote baada ya kukutana na profile yenye picha yake kwa mtandao wa facebook

We unamkumbuka yupi kwa yapi?
Kwaiyo kwa visa vyote hivyo hata hukumtunuku tunda la edeni??
 
Nilimtongoza akasema vipi baba yake akijua, nikaogopa ila siku hiyo usiku nikatafakari kumbe sio kwamba hanipendi ila tu anamuogopa baba yake. Kesho yake nikamwambia iwe siri baba hatojua, alikuwa mchungaji na yuko board ya shule. Nikajilipua tukapendana sana ila tukashindwa kuishi kwa siri. Ila mama yake alikuwa ananikubali, na nilikuwa naenda sana kwao nikiamini hawajui.

Alifariki nikiwa 1st year chuo
Pole ila uliruka majoka mkuu?
 
Wa kuitwa Godfrey, yule kaka alinipenda sana nikiri hadi ukubwani hakuna mwanaume alieonesha upendo kwangu kama yeye shida mimi sikumpenda kihivyo sijuagi ni utoto ama nini. Alikua ananisaidia sana kwenye kusoma mana kichwani alikua njema , namkumbuka sana kwa upendo wake na namna alivyokua ananijali.
Pale ambapo hampendwi ndio mnapenda kawaida labda mtafute inawezekana yupo atakuskia
 
Sitaki hata kukumbuka nilimtongoza uyo demu akanisemea kwa mwalimu daah nilikula fimbo kama zote najua wengine walitumia Barua ila nilienda na oral naona nilipoteza pia confidence.
 
[QUOTE="cabo, post: 43809357, member: 370615"unaweza kuhudumia kila kitu na usipate zawadi hawana jema hao kuna mtu katulia haudumii ivyo na anapendwa kila anachotaka anapewa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom