Unamkumbuka Mussa Simba aka Black Moses: Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo

Sijui hata mmoja yahao ulowataja sababu pengine nilkua sijafika mjini bado. Ila inaonekana unabusara sana mkuu
 
Enzi hizo kulikuwa na kumbi maarufu kama langata- kinondoni, DDC- kariakoo.

Tukiwa na nyege tunatembelea maeneo ya Magot, tuna kata kiu zetu.

Kulikuwa na kipindi cha mama na mwana - RTD kila jumamosi tulisikiliza.

Majumba ya sinema kama Avalon, Empress, New chox, Drive inn yalibamba sana.

Good old days,
 
Dah...Kitambo sana..wengi humu wanaowaheshimu sasa ..wakati huo walikuwa wanacheza "rede"😎
 
Uzi mzima bado sijaona aliyemkumbuka kokoliko na Maxi priest, ukumbi wao nadhani ilikuwa igongwe au third world nishazeeka niwekeni sawa juu ya wacheza kwasakwasa hawa na kanda bongoman wa bongo.
 
Enzi zetu hizo maneno super ngedere,athuman digadiga,black mozes yaan hadi leo mm napenda flashback hadi kesho
 
Uzi mzima bado sijaona aliyemkumbuka kokoliko na Maxi priest, ukumbi wao nadhani ilikuwa igongwe au third world nishazeeka niwekeni sawa juu ya wacheza kwasakwasa hawa na kanda bongoman wa bongo.
Kokoliko ilikuwa ni miziki ya Congo hapa na makwanja
 
Hakuwa mchezaji kivile ila ujinga tu wa wabongo walidhani jamaa anajua kucheza kumbe sivyo. Nilimshuhudia michezo yake na nikawa nawashangaa abongo wanampigia debe kwa misingi gani maana jamaa hakuwa anajuwa kucheza kivile, alikuwa wa kawaida sana.
 
We unamfahamu nani aliyekuwa mkali wa kuyarudi mangoma miaka hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…