Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

Watoto wa siku hizi wanadeka sana. Ni wasumbufu na wanapenda wapelekwe shule za awali wakabugie uji, maziwa na peremende. Sikuwahi kwenda shule ya awali.

Ni moja kwa moja darasa la kwanza nikiwa nimebeba adidas mgongoni. Hamna kulialia.Utabamizwa makofi au kufinywa mashavu hadi uimbe haleluya.
 
Aaaahahaha

Pole mkuu
Mungu wampe maisha marefu huyo Maria Gonzalves!!

Na huyo Mkude Mungu adili nae Perpendicukary
 
Huna zawadi ya kumpa zaidi ya kisamvu .

Bahati nzuri Mwl hatumii hiyo kitu.

Akikuona lazima atasikitika sanaa
 
Mwalimu amkumbuka mwalimu🤣
 
A
Aaahaajaja

Hiyo miaka upo na Sports Yako na shilingi hamsin ya kulia mapupu na sambusa
 
A

Aaahaajaja

Hiyo miaka upo na Sports Yako na shilingi hamsin ya kulia mapupu na sambusa
Shilingi hamsini?Unacheza wewe!Ada shilingi tano halafu uwe na hamsini?Madaftari na penseli bure.Niliwahi kununua sufuria la kapile(mihogo imepikwa na kuungwa nyanya mchuzi kwa wingi)kwa shilingi 20(tuliita mbao)tukafurahi na "magangwe" wenzangu hadi basi!
 
Shilingi hamsini?Unacheza wewe!Ada shilingi tano halafu uwe na hamsini?Madaftari na penseli bure.Niliwahi kununua sufuria la kapile(mihogo imepikwa na kuungwa nyanya mchuzi kwa wingi)tukafurahi na "magangwe" wenzangu hadi basi!
Nisamehe mkuu

Shilingi Tano Ile inayofanan na elfu kumi ya sasa

Nikupitiwa tu
 

ELIMU YA AWALI SIKUSOMAGA🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…