Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yes mkuuMkuu na wewe una pacha wako!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mkuuMkuu na wewe una pacha wako!?
amina ,maana juhudi zao kiukweli ndiyo matunda mema yetuMungu awape maisha marefu
Hongera mkuu Kwa kuwakumbuka
Wewe ni Doi au Kulwa!!?Yes mkuu
DoiWewe ni Doi au Kulwa!!?
Aahhaaaaa
😅 ujanja ujanja ni kawaida maisha yenyewe yanahitaji ujanjaAahhaaaaa
Akina Doi siku zote ni wajanja
Si unaona hata Yakobo alimpiga kekundu Esau
Ila mie nahisi wakina Doi Huwa ni first Borns,sema huwawanachelewa wakati wakutoka😅 ujanja ujanja ni kawaida maisha yenyewe yanahitaji ujanja
Abee 😂Si haba ni muda wa kuwa na wajukuu
Kama shemeji mwenye ndo wewe bora tu awe sisterMwenye dada hakosi shemeji
Kumbe mapacha tupo wengi
Kwanini mkuu 😅Kama shemeji mwenye ndo wewe bora tu awe sister
Inawezekana ila ndio hivyo wanatufitiniIla mie nahisi wakina Doi Huwa ni first Borns,sema huwawanachelewa wakati wakutoka
Na ndiyo maana akina Doi Huwa ni wabishii na wajuajiInawezekana ila ndio hivyo wanatufitini
Dogo langu mpaka sometimes natamani nilirukie tikitaka 😂😂Na ndiyo maana akina Doi Huwa ni wabishii na wajuaji
Huko sipo kabisa 😂Na ndiyo maana akina Doi Huwa ni wabishii na wajuaji
🍻Kwanini mkuu 😅
Siyo mbayaHuko sipo kabisa 😂
Pacha wangu ni mbishi na mjuaji mno, mimi sipo hivyo.
AaahaaaKipindi hicho hatuwaiti Madam, ni Mwl Christina "Kapua",
Mwl Christina "Mdogo", Mwl...!
nnavyosikia huwa ni hivyo ila kwetu ni tofauti kabisaSiyo mbaya
Ndo maana nilisema mara nyingi
Hawa wa kwangu wote ni WA kike na Doi ndo mjuaji
We hutak shemeji