Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

Ray c kabla ya utangazaji na uanamuziki alikuwa dj...
Nashangaa sahv mkiwaona madj wa kike mnaona kama jambo geni,wakati enzi hizo Ray c alikuwa anachezea timetables

Ova
Ww Mzee hili jiji unalijua kama sufuria ya ugali
 

Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.

Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.

Alianza safari yake ya muziki wa Bongo Fleva mwaka 2003, alipozindua albamu yake ya kwanza, "Mapenzi Yangu."

Amewahi kushinda tuzo mbalimbali kama:
-Msanii Bora wa Kike kwenye Tuzo za Muziki za Tanzania (2004 na 2007)

-Msanii bora wa Kike kutoka Uganda na Tanzania Tuzo za Muziki za Kisima (2004)

Pia, Ray C ni mtetezi wa harakati za Serikali za kupambana na Biashara ya Dawa za kulevya
huyu mdogo wangu aliingia kwenye kutumia cocaine na akatibiwa sober house, sijui kama amepona ama bado anahitaji kumrudia MUNGU.
Pia, haja jaaliwa kupata mume wa kumpa mimba, anatumia wanaume na wanatumia njia za asili za uzazi ndio maana hakuna mtoto katika umri huu anakimbilia MENO-PAUSE.
 
Sema ali-undergo transformation moja ya ajabu:

images (12).jpeg


Then ikaja:
images (13).jpeg


Sasa:

images (14).jpeg
 
Back
Top Bottom