Unamkumbuka Taribo West wa Nigeria, siku hizi ameokoka na ni mchungaji

Na sasa unamkadiria akiwa na umri gani?
Angalia hiyo picha kulia, hiyo ni picha ya mstaafu kabisa hata JK mwenye miaka 73 anaonekana kijana, ila google inaonyesha ana miaka 49, inachekesha.
 
Kuna lile kava la Taribo alikuwa kwenye pembe ya uwanja kama vile anafinya hivi. Lile kava lilikuwa linapendwa sana.

Siku zinakimbia kwelikweli!
 
Hio picha ya kushoto nafikiri ndiyo mechi Nigeria alipigwa 4-1 na Denmark World Cup ya 98 hakuamini kilichotokea
 
Kupanga ni kuchagua, Ila kachagua pazuri, sadaka kedekede
 
Kijijini una
Kidaftari cha stika za wachezaji, unakuwa unatazama kama albam za picha na washikaji, enzi hizoo
Ka ghetto kako,upande m1 wa ukuta magazeti na wa2 sticker za jojo,sasa hapo lazima ile ya R9 ina thamani kubwa,Zinedine,Okocha,Roger Miller.
Ukibahatisha kuzamisha kademu mle kanatamani maisha ya pale ya dumu kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…