Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

Jamaa anapigwa "kipande".

Navyojua mimi, kama umefanya kosa la kukusudia na ulikanywa "kipande" kinakupata, na huwa hakina msamaha.

Ukishapigwa umepigwa.

Wazee wakikaa kukushughulikia mzee ni hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapiga simu Afrika?
 
Mke wake keshaomba talaka.Ameshawahi kufanya jaribio la kutaka kuuwa blacks huko nyuma.
Adhabu yake apelekwe jeshini Afghanistan au somalia akauwe magaidi.
Sura ya uuaji,ukatili na ubaguzi hii kabisa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1590826519347.jpg
    18.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1590692633471.jpg
    20.1 KB · Views: 2
Mbona awakutumia hio mizimu kumroga mobutu.
Au Askari wa kiafrica wanaouwa waafrika wenzao bila kosa.
 
Hao wamedandia meli, sheria ni lzm ufukuzwe kazi kwanza then unashtakiwa unafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…