Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu.

Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli wapi?.

Wadada nauliza?
 
Bila picha huu Uzi ni batili....
 

WADADA BAADA YA KUONA HII THREAD
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu sana. Na ndo maana kwa akili kama hizi bado unapanda daladala. Ungekuwa umefocus kwenye mambo yako na kutafuta hela hizi unazoziita kero usingezipata kwa kutembelea usafiri wako. Mjinga mkubwa wewe. Fata mambo yako afu tembea kwa mguu.
 
sasa unawezaje kununua mikorogo na kucha bandia afu ushindwe kulihudumia kwapa lako?

zingatieni maoni hayo. Ebooh
kuna watu wana kichwa chenye ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu akili muda ni 56MB
 

ni sawa na kumcheka Mhaya kushindwa kuandika kizigua,focus on content we papai
 
kwaiyo wanaonuka kwapa na hawana mawigi, mikucha na infinix huu uzi auwahusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…