Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

unajua kusoma na kuelewa au hata kiswahili uli fight for food?,,gri n badili il shati na va la jana,tuliza tumatako twako tusito na nyama huto😉
😉

Hahahaha unajua kuchamba balaa. Yaani umenichamba nikachambika. Upo vizuri.
 
sasa infinx imefanyaje jamani aisee 😂😂😂🙌
 
we Matter core,unaisi kwa kukalili,unafahamu kusoma ama unajua?,una uhakika unakicha chenye ubongo na akili? au nikichwa tu chenye ubongo? ,,haya huwezi kumpata mpumbavu katika mjinga na mjinga katika mpumbavu,,au umetoka kuzini kwamba akili bado zipo kiunoni?
Mkuu uwe unaedit kabla hujapost, unaandika kama unakimbizwa, na hiyo kukalili ni kukariri samahan lakini
 
Wadada nauliza?
Hapo bado haujasikia harufu ya PAPA n linavyojuaga kunuka km Samaki kafa siku tatu alafu akfia kwenye ndoo ya maji yenye shombo iliyofunikwa, Sasa ile harufu unayoipata ukifunua mfuniko wa ndoo ndio harufu ya PAPA lililovunda

Sorry kwa niliemkwaza, mjirekebishe
 
Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu.

Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli wapi?.

Wadada nauliza?
Itakua hana hela ya deodorant labda..
 
Back
Top Bottom