Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

unajua kusoma na kuelewa au hata kiswahili uli fight for food?,,gri n badili il shati na va la jana,tuliza tumatako twako tusito na nyama hutoπŸ˜‰
πŸ˜‰

Hahahaha unajua kuchamba balaa. Yaani umenichamba nikachambika. Upo vizuri.
 
unajua kusoma na kuelewa au hata kiswahili uli fight for food?,,gri n badili il shati na va la jana,tuliza tumatako twako tusito na nyama hutoπŸ˜‰
πŸ˜‰
jamani πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
sasa infinx imefanyaje jamani aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Mkuu uwe unaedit kabla hujapost, unaandika kama unakimbizwa, na hiyo kukalili ni kukariri samahan lakini
 
Wadada nauliza?
Hapo bado haujasikia harufu ya PAPA n linavyojuaga kunuka km Samaki kafa siku tatu alafu akfia kwenye ndoo ya maji yenye shombo iliyofunikwa, Sasa ile harufu unayoipata ukifunua mfuniko wa ndoo ndio harufu ya PAPA lililovunda

Sorry kwa niliemkwaza, mjirekebishe
 
Itakua hana hela ya deodorant labda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…