Unamkuta mwanamke amezaliwa mweupe kabisa, halafu tena bado anajichubua, hivi hali hii huchochewa na nini?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona.

Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa?

Unakuta binti kaiva sura utadhani ni addicts wa visungura. Yaani ngozi sehemu nyingine rangi ya fanta na sehemu nyingine kokakola.

Ni muhimu sana kujiepusha na tabia hii bana, mnaondoa urembo alowajaalia Mungu na kujivika pepo 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Sisi wanaume makatili nye, hivi huwa wanafanya hivo kwa ajili yetu!!
 
Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona.

Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa?

Unakuta binti kaiva sura utadhani ni addicts wa visungura. Yaani ngozi sehemu nyingine rangi ya fanta na sehemu nyingine kokakola.

Ni muhimu sana kujiepusha na tabia hii bana, mnaondoa urembo alowajaalia Mungu na kujivika pepo 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
nyie wanawake weusi ni beautiful sana! Mpo hot!
 
Back
Top Bottom