Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
sasa, sisi hatuamini dini yenu, wala funga yenu, na tunavyofunga sio kama ninyi mfungavyo, siku za kufunga sio lazima ziwe zile ninyi mnafunga, inakuwaje mnakereka tukila chakula cha kwetu, wala si cha kwenu kama kweli ninyi ni dini ya amani? si ushetani kabisa huu?Kwani wewe unafunga vip? Ndio wale wa kufunga mpaka kufa 🤣🤣🤣.
Mbona hata kanisani hukai siku nzima ,kwani siku inakaa mda gani ?