Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Mimi nadhani ni msukumo tu wa kuiwaza familia yangu itaishije ndiyo ilininusuru hasa mwanangu ambae hakuwa na hata miezi mitatu kipindi hiko.sio wewe tu mkuu ni wengi hata me pia nikikumbuka nazilaani zile siku, bila kupata usaidizi ningepotea.
NamuuaMizaha muweke kando hii ni ishu serious.
Huenda zipo ngoja waje watatuambia maana su!c!de zimekua nyingi sahiviNasikia mtu akikiri kutaka kujiua huwa hatafuti huruma, anatafuta sababu za kujimaliza. Sina uhakika kama ni kweli....
Kwa wazungu kunakuwa na huduma za hewani za kusaidia wanaotaka kujiua. Sijui kama bongo zipo...
KumanyokoMarahaba hujambo...
Iko hivi mtu aliyekufa anakula bata Sasa hivi kuliko hata wewe ambaye unaishi so kumzuia asijiue ni kumzuia kuponda raha huko anakotaka kwenda.
Hii ndiyo kusema kumzuia mtu anayetaka kufa ni kumwonea wivu.
Najua hutanielewa Leo lakini ukikua utanisoma.
Bye bye 👋
Ah wee.. ningeona vipi alikiba akiambiwa hajui kuimba!Mkuu mi naona bora ungewahi mapema kule uponde raha. kule Mambo ni raha mustarehe
Halafu mtu anayetaka kujiua huwa hasemi kuwa anataka kujiua bali hujiua na sisi humkuta akiwa tayari ameshatangulia.Nasikia mtu akikiri kutaka kujiua huwa hatafuti huruma, anatafuta sababu za kujimaliza. Sina uhakika kama ni kweli....
Kwa wazungu kunakuwa na huduma za hewani za kusaidia wanaotaka kujiua. Sijui kama bongo zipo...
Ipo siku utaacha mambo hayo 🤣Ah wee.. ningeona vipi alikiba akiambiwa hajui kuimba!
Kama una maisha yanayoridhisha subiri siku yako halali, kama maisha hayajakaa vema na huna tumaini Bora utangulie.mkuu hapa natafuta namna ya kuokoa maisha sio kuwahi kufa.
Vipi wewe hutaki kutangulia ukale rahaKama una maisha yanayoridhisha subiri siku yako halali, kama maisha hayajakaa vema na huna tumaini Bora utangulie.
Sawa ila sio kirahisi rahisi tu.Ipo siku utaacha mambo hayo 🤣
Tena kama hawajui chochote ndo raha Kwa sababu hupati hisia yoyote.Duh! ila navyojua mimi mkuu wafu hawajui lolote maana wamekufa hizo raha wanazipataje?
PoleKama ni issue serious, njoo pm Kisha mimi nita ongea nae.
I have been there before, and I still remember how it feels to be in that situation.
Mkuu kitu kinachotisha ni maumivu ya wakati wa kukata roho, ukishakufa yaani ukishayavuka maumivu yale basi kifuatacho ni raha.mkuu hapa natafuta namna ya kuokoa maisha sio kuwahi kufa.
Kuhusu kumsaidia kwanza inategemeana na huyo mtu kama ni CCM au LA!....kama ni ccm basi kimbia mbiyo kamtafutia kamba au sumu ya kujiulia .Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.
Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.