Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

sio wewe tu mkuu ni wengi hata me pia nikikumbuka nazilaani zile siku, bila kupata usaidizi ningepotea.
Mimi nadhani ni msukumo tu wa kuiwaza familia yangu itaishije ndiyo ilininusuru hasa mwanangu ambae hakuwa na hata miezi mitatu kipindi hiko.
 
Nasikia mtu akikiri kutaka kujiua huwa hatafuti huruma, anatafuta sababu za kujimaliza. Sina uhakika kama ni kweli....

Kwa wazungu kunakuwa na huduma za hewani za kusaidia wanaotaka kujiua. Sijui kama bongo zipo...
Halafu mtu anayetaka kujiua huwa hasemi kuwa anataka kujiua bali hujiua na sisi humkuta akiwa tayari ameshatangulia.

Ukimwilona mtu anajitapa ya kwamba anataka kujiua basi jua anatafuta huruma na kutaka kujua watu wanampenda kiasi gani yaani anafanya assessment iwipo yeye bado ni valid au la.

Hivyo ukimwona mtu anatangaza kujiua ni Bora umtembezee kichapo kisichomithilika Kwa kukupima wewe kwamba unampenda kiasi gani.

Narudia mtu anayetaka kujiua kwa dhati hasemi, mtu anayedai kuwa atajiua anatafuta huruma na kuwapima.

Akili kumkichwa.
 
mkuu hapa natafuta namna ya kuokoa maisha sio kuwahi kufa.
Mkuu kitu kinachotisha ni maumivu ya wakati wa kukata roho, ukishakufa yaani ukishayavuka maumivu yale basi kifuatacho ni raha.

NB. Kila mtu lazima atapitia maumivu wakati wa kufa tunachewa tu kama kuwa wa mwisho katika mstari wa watahiriwa ambapo wote lazima watahiriwe hata kama ni Kwa kuchelewa.
 
Kuna wale ambao wakitaka kujiua wanataka kuua na wengine.

Ili aondoke na kijiji.

Ndio ile unakuta mtu kama ni dereva ana endesha gari speed ya mwisho halafu ana elekezea gari kwenye umati wa watu.
 
Habari za wakati huu wakuu.

Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.

Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.

Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
Kuhusu kumsaidia kwanza inategemeana na huyo mtu kama ni CCM au LA!....kama ni ccm basi kimbia mbiyo kamtafutia kamba au sumu ya kujiulia .
 
Back
Top Bottom