secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Mkuu umenena kiutu uzima.Mtu anaetaka kujiua huwa hasemi, ndio siri pekee ambayo watu wengi wanaishi nayo kivyao.
ukiona kasema basi ni huku mitandaoni akiwa anajiamini hakuna ataemjua.
Hiyo ni mbayaKuna wale ambao wakitaka kujiua wanataka kuua na wengine.
Ili aondoke na kijiji.
Ndio ile unakuta mtu kama ni dereva ana endesha gari speed ya mwisho halafu ana elekezea gari kwenye umati wa watu.
round kick soma hapa anaetaka kujiua wakati mwingine anasema.Pia soma:
dah pole sana mkuu, ila kwa wengine wakiwahi wakapewa msaada kabla dhamira haijakomaa wanaacha.Ngumu saaana kuzuia dhamira iliyo moyoni mwa mtu,
Nakumbuka nilimwahi mmoja nikamfungua kitanzi nikambembeleza nikamwelekeza na n.k lakin siku ya siku usiku alitekeleza dhamira yake
Duh sorry sana kiongozi I have been there too.Kama ni issue serious, njoo pm Kisha mimi nita ongea nae.
I have been there before, and I still remember how it feels to be in that situation.
Inategemeana na kiwango cha maumivu ya mhusikadah pole sana mkuu, ila kwa wengine wakiwahi wakapewa msaada kabla dhamira haijakomaa wanaacha.
yeah ni kweliInategemeana na kiwango cha maumivu ya mhusika
asante mkuu imekaa kikawaida sana lakini ni good psychological manipulation trick that can save a soul.Msaada wa haraka, mwambie ndugu subiri kidogo, hiyo kamba ipo kwenye tawi dogo inaweza kukatika haraka kabla hujafa, sogeza kwenye lile tawi kubwa haitakatika. Maneno haya yanaweza kurejesha ufahamu wake haraka na utasikia kumbe hunipendi kiasi hichi. Baada ya hapo hatakuwa na hamu ya kuendelea na adhima yake ya kujiua. Hekima nyingine Mungu anaweza kukusaidia namna ya kufanya kwa wakati huo.
Kabisa, wewe hutotumia muda wako kupingana naye kwa maamuzi yake, wewe sapoti maamuzi yake kwa njia ambayo hakutarajia kabisa. Tena usiwe na utani uwe siriazi na kazia baadhi ya maeneo utamwona anashuka mwenyewe bila kutumia nguvu. Ukianza kumbebeleza ndio unampoteza kabisa.asante mkuu imekaa kikawaida sana lakini ni good psychological manipulation trick that can save a soul.
Njia rahisi ni kutoa taarifa hospitali kuna wataalam wa ushauri. Or else fika ofisi ya mganga mkuu wa wilaya wa eneo hilo. Sure unaweza kukutana na hali ya kutokukuchukulia serious, ni weakness za system zetu but, anapaswa atafute mtu wamsaidie ndugu yako.Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.
Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
shukrani kiongozi neno lako laweza kuokoa maisha ya mmoja wetu ubarikiwe sana.Njia rahisi ni kutoa taarifa hospitali kuna wataalam wa ushauri. Or else fika ofisi ya mganga mkuu wa wilaya wa eneo hilo. Sure unaweza kukutana na hali ya kutokukuchukulia serious, ni weakness za system zetu but, anapaswa atafute mtu wamsaidie ndugu yako.
Si kila sumu inarespond kwenye maziwa. Nyingine ukimpa chochote orally ndo unamsindikizaKama anataka kujiua kwa kutumia sumu, andaa maziwa 🥛🥛 ili uumsaidie