Kabisa, kuiga maisha huwa inacost sana pengine kuishia kwenye madeni mazito & sugu yanayoleta stress zinazopelekea kujitoa uhai, huo ni mfano mojawapo kati mifano mingi.Hakuna maisha mazuri kama hayo unayoyaoshi sasa, tatizo linakuja nikutaka kuishi maisha ya mtu au watu wengine na hapo ndio linapokuja tatizo ya ugumu wa maisha
Be real & live your life
ushauri wa hekima waweza kuwa msaada pia kiongozi nakumbuka tuliwahi kumshauri jamaa tuliesoma nae mpaka leo yupo anadunda anatushukuru sana akikumbuka.Zaidi ya kumpa ushauri au kumpeleka Kwa wataalamu wa saikolojia, sidhani kama Kuna msaada mwingine zaidi ya kumwachia Mungu
Jamaa alikuwa na tatizo la sukari ana watoto 2 katumia kila dawa holaa, mke akawa mwiba badala ya farajayeah ni kweli
Scenario 1
Mtu kafilisika ndugu hawamtaki tena hana pa kula,kulala hana tumaini tena.
Scenario 2
Binti kabakwa anaona aibu watu wakijua na anaona hana umuhimu wa kuishi tena
Scenario 3
Mtu kabet pesa ndefu na kaweka pesa yake yote inaliwa
Scenario 4
Mtu kaachwa na mpenzi/mwenza wake anaempenda na aliejitoa kwake kwa kila namna.
dah so sad, mtu kama huyu akipata tumaini kama tiba ya hio sukari anaweza kuondoa kabisa su!cidal thoughts.Jamaa alikuwa na tatizo la sukari ana watoto 2 katumia kila dawa holaa, mke akawa mwiba badala ya faraja
Alifika hatua ya kuwaambia wanae kwamba Siyo Baba yao coz Hana chochote cha maana kutunza familia
Dah kosa amani zote ila uwe na amani ya moyo,roho, na akili.Kujiua sio kitu kizuri ila kuna situation nyingine mtu unaweza kumuelewa kwa nini alichukua uamuzi huo, na cha kutisha zaidi mawazo ya kujiua huwa hayaji leo kesho kutwa anajiua ila unakuta mtu ana kaa na wazo hilo hata miezi 6
Thanks bro, sema yangu ili kuwa personal war dhidi ya watu wengi.Pole
Kabisa, akiupata Kwa wakati sahihiushauri wa hekima waweza kuwa msaada pia kiongozi nakumbuka tuliwahi kumshauri jamaa tuliesoma nae mpaka leo yupo anadunda anatushukuru sana akikumbuka.
Wana laana na wengine wenye nafuu ni najisi.ccm wana nini mkuu
Kwani marehemu wasira anasemaje?Dah! tusaidie mkuu maana wengine hapa wanasisiem
Shukrani sana kiongozi kwa ushauri na muongozo ubarikiwe sana.Dalili za Mtu Anayefikiria Kujiua
1. Kuelezea hisia za kukata tamaa, au kujiona hana maana katika jamii.
2. Kujitenga na shughuli za kijamii tofauti na mwanzo, mfano hataki tena kwenda out, kujiunga kwenye shughuli za sherehe au misiba etc, au kuacha kucheza au kutembelea au kutembelewa na wenzake kama ni teenager/mtoto
3. Kuwa na mood swings mfano huzuni, hasira, wasiwasi, au ukimya tofauti na kawaida yake
4. Kuanza kugawa vitu vyake vya thamani, au alivyokuwa anavipenda zaidi hapo mwanzo, mfano nguo, pesa, picha nk, hii inaweza kuonesha kuwa anajiandaa kuondoka
5. Kuongezq au kuanza kutumia vilevi hasa pombe au hata madawa. Athari ya vilevi ni kuficha tatizo kwa muda mfupi kwake, hali inayoweza kuzalisha maamuzi ya kujitoa uhai anapokosa amani anayoitafuta, au kuzalisha tatizo jingine la kifedha na kuongeza msongo wa mawazo.
6. Utulivu wa ghafla: Hii inaweza kuja baada ya mhanga kupitia kipindi cha kuvurugika hisia , ghafla anakuwa mtulivu au mwenye amani, jambo linaloweza kuonyesha kuwa ameshafikia kabisa maamuzi ya kujiua na haogopi tena, anaamini kabisa ni suluhisho la kudumu.
7. Kuonesha dalili za kutokujali, kukosa empathy kwa wengine au kwake mwenyewe. Hapo shida tatizo limeshamzidia haoni chochote kinachotokea kwake au anachofanya kwa wengine kama ni ishu tena.
8. Kuzungumzia mara kwa mara kuhusu kifo au kujiuwa: Hii ni kwa wale ambao wanaweza kuongea, ni "a cry for help, " chukulia kama ni bahati sana maana kuna wale ambao hawaongei kabisa. Mtu anayeongelea kujiua ana nafasi kubwa ya kupata msaada kuliko anayekaa nalo moyoni, huyu mtakutana tu na maiti yake.
9. Kuacha kujijali. Mfano katoka usafi wa mwili, mavazi, makazi, ulaji (kupungua uzito au hata kunenepa inategemea hali au anakula sana ba anakuwa inactive, yote yanawezekana), pia kutojali muda, ratiba au ahadi anazopanga na wengine.
Toa msaada kwa kuzungumza naye. Lakini usijione kama anaweza kufunga kila kitu kwako, jambo zuri ni kuwasiliana na unayeona anamwamini zaidi.
Pia kibongobongo watu wanapopitia shida hatujui kudeal nao kabisa. Kati ya vitu vinavyoweza kufanya mtu ajiue ni tabia zetu za kusambaza maneno ya kile mwenzako anapitia, umbea na tabia za kuhukumu watu wanapopitia matatizo, au kukaa kimya kana kwamba huoni mabadiliko mtu anayopitia. Usichujulie shida za mtu kama fursa za kusambaza maneno, hakuna tuzo utapewa, ila akisikia shida zake zimesambaa kwa watu utakuwa umetia petroli kwenye moto, yaani hali yake itakuwa mbaya zaidi. Kama huwezi kusaidia, kaa kimya. All in all, mtafutie msaada wa kitaalam na uoneshe upendo.
Hapa nimekuelewa vizuriPia kibongobongo watu wanapopitia shida hatujui kudeal nao kabisa. Kati ya vitu vinavyoweza kufanya mtu ajiue ni tabia zetu za kusambaza maneno ya kile mwenzako anapitia, umbea na tabia za kuhukumu watu wanapopitia matatizo, au kukaa kimya kana kwamba huoni mabadiliko mtu anayopitia. Usichujulie shida za mtu kama fursa za kusambaza maneno, hakuna tuzo utapewa
Tz hakuna. Navuta picha helpline ya kibongo unakutana na mdada kawekwa hapo kisa ni ndugu na bosi fulani. Ushauri nasaha unahitaji utaalamu sana siyo lelemama.Nasikia mtu akikiri kutaka kujiua huwa hatafuti huruma, anatafuta sababu za kujimaliza. Sina uhakika kama ni kweli....
Kwa wazungu kunakuwa na huduma za hewani za kusaidia wanaotaka kujiua. Sijui kama bongo zipo...
Mbona wewe hujajiua mpaka muda huu?ππππMarahaba hujambo...
Iko hivi mtu aliyekufa anakula bata Sasa hivi kuliko hata wewe ambaye unaishi so kumzuia asijiue ni kumzuia kuponda raha huko anakotaka kwenda.
Hii ndiyo kusema kumzuia mtu anayetaka kufa ni kumwonea wivu.
Najua hutanielewa Leo lakini ukikua utanisoma.
Bye bye π
Sure, iko common sana nchi za wenzetuKuna wale ambao wakitaka kujiua wanataka kuua na wengine.
Ili aondoke na kijiji.
Ndio ile unakuta mtu kama ni dereva ana endesha gari speed ya mwisho halafu ana elekezea gari kwenye umati wa watu.
Kwa sababu sitaki kujiua.Mbona wewe hujajiua mpaka muda huu?ππππ