Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Walokole si ndio wanaoamini kuwa wataenda mbinguni.
haha dah ila imani ni imani mtu akishaamini kwishnei babuji, kuna wanaoamini ng'ombe ndio mungu kwao. Zote hizo ni imani kila mtu na lake.
 
haha dah ila imani ni imani mtu akishaamini kwishnei babuji, kuna wanaoamini ng'ombe ndio mungu kwao. Zote hizo ni imani kila mtu na lake.
Mi niliacha kuamini hizi dini tangu nilipokuwa mdogo kwa sababu watu niliokuwa nawaheshimu wanakinzana ktk maswala ya dini.
Sasa hivi najaribu kupunguza kufanya dhambi.
 
Unaponda raha kwa nani sasa shetani achukui mtu kibudu aliyejiua na Mungu achukui kibudu.
Unabakia katikati kusubiria hukumu tu
 
Mi niliacha kuamini hizi dini tangu nilipokuwa mdogo kwa sababu watu niliokuwa nawaheshimu wanakinzana ktk maswala ya dini.
Sasa hivi najaribu kupunguza kufanya dhambi.
Kabisa dini za watu hizi zina uongouongo mwingi na fitina, kikubwa amini Mungu yupo na tupunguze dhambi.
 
roho na Nia ya kujiua hutokea kwa shetani. Shetani dawa yake ni Yesu Kristo. Damu yake.
 
Kabisa dini za watu hizi zina uongouongo mwingi na fitina, kikubwa amini Mungu yupo na tupunguze dhambi.
Umenena, ndo maana huwa nawashangaa viongozi wa dini wanapogoma kumzika mtu aliyekutwa kwenye kamba kwa madai kuwa amijinyonga hawajui kuwa mtu anaweza kunyongwa na mtu mwingine.

Hawa jamaa huwa waniniacha mdomo wazi
 
Inatakiwa watu wapewe maarifa ya kiroho mfano akija mtoa Roho ni dalili zipi utazihisi na ufanye nini ili kumtukuza.
Huwezi kujiua bila kusikia sauti ya ndani jiue.
Sasa ukishasikia ile sauti ya ndani si jiue kwa sisi Wakristo unapiga tu fire.Au unaachilia blood of Jesus ndani mwako sekunde nyingi mtoa roho lazima ale kona.
Hizi ni falme mbili hazikai pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ