MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #41
Hamida kamvuruga sana msanii wetu. JB Mpiana kamtungia nyimbo nyingiIla jina la hamida tam sana...hata mi huwa linanivutia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamida kamvuruga sana msanii wetu. JB Mpiana kamtungia nyimbo nyingiIla jina la hamida tam sana...hata mi huwa linanivutia
Huu ushauri unawafaa sana UtopoloKwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.
Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana kuisaliti ndoa yao. Wananchi wengi wameonyesha kushangazwa na ujasiri wa Masanja kuweka msimamo wa kumpenda mkewe hata ikitokea kamfumania LIVE kwenye lile tendo. Binafsi naweza sema wengi wa watu wanaomshangaa Masanja hawana mapenzi ya dhati.
Tutazame kidogo mwanamuziki tajiri toka DRC, JB Mpiana ili kuweza kutukumbusha mapenzi ya dhati yapo na pia msamaha upo kwa mtu unayempenda kwa dhati. Kwa wasiomfahamu JB Mpiana mfahamu kuwa huyu ni mwanamuziki mwanzilishi wa bendi maarufu sana ya Wenge Musica iliyotamba sana miaka ya 90. Wakati Wenge ikitamba huyu JB Mpiana ndo alikuaa kiongozi wa kundi akiwa na wenzake kina Werrason, Didier Masela, Alain Makaba, Adolphe Dominguez, Blaise Bula, Titina Alcapone, Tutu Kaludgi, na Roberto Ekokota. Lilikuwa kundi la moto sana kwa bahati mbaya likasambaratika na kuibuka kwa bifu kali sana toka kwa miamba miwili, JB Mpiana na Werrason.
JB Mpiana alikuwa mume halali wa mwanamama Amida Shatur na kubahatika kupata watoto watatu, Daida, Soraya na Junior. Lakini mnamo mwaka 2002, mwanamama Amida alimwacha JB Mpiana na kwenda kuolewa na bilionea wa madini aitwaye Didi Kinuani. Katika ndoa yao, Didi na Amida walifanikiwa kupata mtoto mmoja aitwa Diam. Lakini kwa kuwa kunguru hafugiki, zikaanza tetesi za Amida kuchepuka na bilionea mwingine aitwae Vital Kamerhe kitu ambacho Didi Kinuani hakuweza kuvumilia na kuamua kumpa talaka mkewe Amida. Katika muda wote huo wa ndoa ya Didi Kinuani na Amida, yeye JB Mpiana alikuwa single.
Ikiwa ni karibu miaka nane imepita baada ya kuachana na mkewe, June 2, 2009, supastaa JB Mpiana kwenye sherehe za kutimiza miaka 42 ya kuzaliwa, aliwashangaza watu waliohudhuria tafrija Grand Hotel Kinshasa kwa kuwatangazia kurudiana na mkewe Amida aliyeachika kwa Didi Kinuani. Na hakuishia hapo tu, alimpa zawadi pia mbele ya wageni waalikwa. Hili jambo liliushangaza umma kwasababu wengi walikerwa na jinsi Amida alivyomuacha Mpiana na kwenda kwa bilionea Didi. Mwanamuziki Werrason pamoja na kuwa walikuwa kwenye bifu zito na JB Mpiana baada ya kundi lao la Wenge kusambaratika ila naye alikataa dili la kwenda kutumbuiza kwenye harusi ya Didi Kinuani na Amida kwasababu ilimuuma kuona ndugu yake alichofanyiwa.
Furaha ya JB Mpiana ilikoma rasmi tena kwa mara ya pili February 14, 2019 pale mkewe alipomuacha tena na kwenda kuolewa na mchepuko wake wa muda mrefu bilionea Vital Kamerhe. Kinachouma zaidi ni kwamba binti zake Mpiana, Soraya na Daida, walihudhuria hii harusi ya mama yao na baba yao wa kambo Vital Kamerhe. Kwenye ndoa yao, Kamerhe na Amida wamebahatika kupata mtoto Isaac.
Ni kwamba tukiachana na hayo matukio rasmi ya ndoa, Mpiana amekuwa mara nyingi akiachwa na mkewe na kurudiwa baadae. Na mara zote Mpiana amekuwa akimsamehe mkewe kuanza mahaba upya. Tofauti na Masanja utaona Mpiana wabaya wake ni mabilionea ambao pia wana nguvu sana kisiasa. Vital Kamerhe ni katibu kiongozi kwenye serikali ya Tshisekedi huku Didi Kinuani akiwa ni mfanyabiashara mkubwa wa madini huku akihusishwa na kunufaika wakati wa vita huko Angola. Yaani hakuna kitu atawafanya.
Kitu wanachofanana Masanja na Mpiana ni utajiri. Wote wawili wana pesa za kutosha ila kwa bahati mbaya kwenye mapenzi ni mafukara. Ni wito wangu kwa watu wengine kusamehe wake zao wanapoachika na wapenzi wao. Hata kama atarudi na mtoto kama ilivyokuwa kwa JB na Amida.
Wewe kuweza!? Chaaa!Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.

Kajala nae ana makandokando?Wengine wanazitumia Nyota za hao wanawake, hii dunia mengi hamyajui.
Konde boy pia hawezi kumuacha Kajala kwa sababu hiyo hiyo ya kutumia Nyota za wanawake kwenye mambo yao.
Inahitaji maturity ndio utaelewa nimeandika nini.
Binadamu huchukulia kama vile upendo ila mwishoni kabisa ni psychological torture ambayo itakuumiza sana kichwani mpaka unaingia kaburini. Mwanaume ni mwanaume na hakuna kitu alichonacho mwanaume kama fragile ego. Ukishaivunja hiyo ego kiasi kwamba mwanaume hawezi kuitengeneza hiyo ego basi huwa broken inside na mawazo ya huyo mwanaume huishia kwahuyohuyo mwanamke maana thought process yake imeshavunjwa. Hata uwe na pesa vipi, mwanaume akikosa ego basi hata kuishi kama mwanaume hawezi. Na mwanamke anayefanya hivyo kwa mwanaume huyo yaani kwenda na kurudi basi ujue alishajua point of weakness ya mwanaume husika na akafanikiwa kuivunja ego yake kiasi cha kumpelekea kuwa broken. Ila huo siupendo, labda ungeniambia plutonic love ambayo huishia kwa wazazi na ndugu watumbo moja tu. Ila romantic love, haiendi hivyo and that is a psychological issue.Ukipata unayempenda utasamehe kama Masanja
And that is a proven fact. Tuwaombee tu, ila mwisho wake sio mzuri maana hamna mtu anayependa akiwa na uchungu au madonda moyoni.Masanja hii kitu imemuumiza sana ila anajitutumua kitu ambacho in the long run kitakuja kumuumiza sana.
Wewe umeolewa na kuachika mara ngapi? Mi nauliza tu. Maana inaonekana umetendwa sana dada.Kuna kitu mleta mada haukijui.
Hivi Kuna Mwenye upendo kama Mungu!!
Mungu ana upendo lakini hachangamani na dhambi. Hiyo stori ya JB Mpiana ni stori inasoshabihiana na sharia na matakwa ya Kiislam.
Mwanamke akiachwa akaolewa akaachwa anaruhusiwa kuolewa Tena na yule mwanaume wake wa mwanzo. Hayo ni maelekezo ya Dini. Na Yana mantiki kubwa sana.
Lakini pia Kuna jambo hawalielewi kuwa haya makanisa yanayochipukia Sasa yanaharibu sana ndoa za watu wengi.
Wanawake wengi waliopo kwenye makanisa hayo Wana migogoro mikubwa ya Ndoa na wengi wamewaacha waume zao na kuwaita kuwa ni mapepo Kwa maelekezo ya hao manabii uchwara na Mitume feki.
Wengi wamekua wakiwaambia Wanawake kuwa mwanaume akikuzingua achana naye usivumilie mateso ukafa Kwa stress.
Chaa ajabu wao manabii feki walikua wanafikiri kuwa wanaume wenye migogoro ya Ndoa ni Kwa sababu hawana akili na wanaosababisha wake zao wachepuke ni Kwa sababu hawapendi na kujali wake zao. Sasa hili ni Fundisho kuwa hata Masanja alampenda sana mkewe lakini akachepuka na kuliwa na muumini wake wa karibu.
Jambo la pili ni kuwa Binadamu ana hulka ya kupenda kulipa kisasi. Au kuona Mungu akilipa kisasi Kisha Roho yake inaridhika na kufurahia kisasi kinapolipwa.
Masanja anafuraha kubwa sana na Hana kinyongo Kwa sababu Adui yake amelipwa kisasa. Amajinyonga na kufilia mbali . Jambo ambalo Kwa Masanja ni malipo ya maovu aliyoyafanya kuingilia ndoa yake .
Masanja Hana kinyongo Tena na Marehemu mana amepata malipo ya juu kabisa yaani kama ni mtu aliyemwibia mtu Mali yake ameshahukumiwa kunyongwa. Sasa Kwa Nini Masanja asifurahiye ushindi huo. Na kwake ni ushuhuda mkubwa kuwa yeyote arakayeingilia ndoa yake atakutana na malipo mabaya kwenye maisha yake.
MASANJA kama binadamu anafuraha ya kuangamia Kwa adui yake alihujumu ndoa yake.
Pili atakayebaki na awakati mgumu ni mkewe Masanja mana hataaminika Tena kama mama Chungaji. Sio mfano wa kuigwa.Amepoteza thamani yake mbele ya jamii.
Hakuna anayependa kuona mkewe anachepuka. Na kuchepuka sio jambo la kifahari hata kidogo. Kuliona kuwa ni jambo la kawaida ni kuipotosha jamii na kujenga kizazi kisicho na maadili.
Mshahara wa dhambi ni mauti ya kiroho au hata kimwili. Mke wa Masanja ajitafakari mana dhambi hiyo itamtafuna na imemuondolea thamani yake Kwa kiwango kikubwa .
Lakini pia Masanja Kuna wakati atakua na Mawazo Mengi sana kila atakapokumbuka tukio Hilo lililomdhalilisha Kwa kiwango kikubwa.
Ni tukio mabaya kwenye jamii. Hivyo watu wasijaribu kuyahalalisha .Yakemewe na yawe ni Fundisho. Wahenga walisema Mke wa mtu ni sumu lakini Mzee wa upako akaongeza kuwa mume wa mtu ni maziwa.
Katiba mambo ambayo ni halali kumwacha mke au mume ni zinaa. Hivyo hata wasipoachana Kwa nje lakini kiroho wamevunja agano waliloapa Kwa kutumia dini hizo hizo ambazo wanazihubiri na kufunga Ndoa. Masanja anatumia Biblia kupata umaarufu lakini Biblia hiyo hiyo inakataza Zinaa na Mwanamke mzinifu sio tu anatakiwa kuachwa Bali kupigwa mawe mpaka kufa.
Acha kujidanganya.JB Mpiana Mario kwa huyo demu.
Bendi haimlipi siku hizi inabidi demu apige mishe kwa hao vibopa
Amida ni pisi kali hatariPicha ya huyo anaegombaniwa.
Unaitwa feux del'amour anakwambiaKwenye wimbo wake mmoja anasema mapenzi wanapendwa wenye pesa,masikini hawana kitu ndio maana yeye ameamua kutulia kwa hamida
Basi itakuwa umemjuwa Kajala baada ya kuanza kumbemenda mtoto Konde boy.Kajala nae ana makandokando?
Picha ya huyo anaegombaniwa.
Kuna tofauti kati ya kuwa na Hela na kuwa Tajiri. Masanja ana Hela tu, ila JB Mpiana ndiyo Tajiri.Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania.
Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana kuisaliti ndoa yao. Wananchi wengi wameonyesha kushangazwa na ujasiri wa Masanja kuweka msimamo wa kumpenda mkewe hata ikitokea kamfumania LIVE kwenye lile tendo. Binafsi naweza sema wengi wa watu wanaomshangaa Masanja hawana mapenzi ya dhati.
Tutazame kidogo mwanamuziki tajiri toka DRC, JB Mpiana ili kuweza kutukumbusha mapenzi ya dhati yapo na pia msamaha upo kwa mtu unayempenda kwa dhati. Kwa wasiomfahamu JB Mpiana mfahamu kuwa huyu ni mwanamuziki mwanzilishi wa bendi maarufu sana ya Wenge Musica iliyotamba sana miaka ya 90. Wakati Wenge ikitamba huyu JB Mpiana ndo alikuaa kiongozi wa kundi akiwa na wenzake kina Werrason, Didier Masela, Alain Makaba, Adolphe Dominguez, Blaise Bula, Titina Alcapone, Tutu Kaludgi, na Roberto Ekokota. Lilikuwa kundi la moto sana kwa bahati mbaya likasambaratika na kuibuka kwa bifu kali sana toka kwa miamba miwili, JB Mpiana na Werrason.
JB Mpiana alikuwa mume halali wa mwanamama Amida Shatur na kubahatika kupata watoto watatu, Daida, Soraya na Junior. Lakini mnamo mwaka 2002, mwanamama Amida alimwacha JB Mpiana na kwenda kuolewa na bilionea wa madini aitwaye Didi Kinuani. Katika ndoa yao, Didi na Amida walifanikiwa kupata mtoto mmoja aitwa Diam. Lakini kwa kuwa kunguru hafugiki, zikaanza tetesi za Amida kuchepuka na bilionea mwingine aitwae Vital Kamerhe kitu ambacho Didi Kinuani hakuweza kuvumilia na kuamua kumpa talaka mkewe Amida. Katika muda wote huo wa ndoa ya Didi Kinuani na Amida, yeye JB Mpiana alikuwa single.
Ikiwa ni karibu miaka nane imepita baada ya kuachana na mkewe, June 2, 2009, supastaa JB Mpiana kwenye sherehe za kutimiza miaka 42 ya kuzaliwa, aliwashangaza watu waliohudhuria tafrija Grand Hotel Kinshasa kwa kuwatangazia kurudiana na mkewe Amida aliyeachika kwa Didi Kinuani. Na hakuishia hapo tu, alimpa zawadi pia mbele ya wageni waalikwa. Hili jambo liliushangaza umma kwasababu wengi walikerwa na jinsi Amida alivyomuacha Mpiana na kwenda kwa bilionea Didi. Mwanamuziki Werrason pamoja na kuwa walikuwa kwenye bifu zito na JB Mpiana baada ya kundi lao la Wenge kusambaratika ila naye alikataa dili la kwenda kutumbuiza kwenye harusi ya Didi Kinuani na Amida kwasababu ilimuuma kuona ndugu yake alichofanyiwa.
Furaha ya JB Mpiana ilikoma rasmi tena kwa mara ya pili February 14, 2019 pale mkewe alipomuacha tena na kwenda kuolewa na mchepuko wake wa muda mrefu bilionea Vital Kamerhe. Kinachouma zaidi ni kwamba binti zake Mpiana, Soraya na Daida, walihudhuria hii harusi ya mama yao na baba yao wa kambo Vital Kamerhe. Kwenye ndoa yao, Kamerhe na Amida wamebahatika kupata mtoto Isaac.
Ni kwamba tukiachana na hayo matukio rasmi ya ndoa, Mpiana amekuwa mara nyingi akiachwa na mkewe na kurudiwa baadae. Na mara zote Mpiana amekuwa akimsamehe mkewe kuanza mahaba upya. Tofauti na Masanja utaona Mpiana wabaya wake ni mabilionea ambao pia wana nguvu sana kisiasa. Vital Kamerhe ni katibu kiongozi kwenye serikali ya Tshisekedi huku Didi Kinuani akiwa ni mfanyabiashara mkubwa wa madini huku akihusishwa na kunufaika wakati wa vita huko Angola. Yaani hakuna kitu atawafanya.
Kitu wanachofanana Masanja na Mpiana ni utajiri. Wote wawili wana pesa za kutosha ila kwa bahati mbaya kwenye mapenzi ni mafukara. Ni wito wangu kwa watu wengine kusamehe wake zao wanapoachika na wapenzi wao. Hata kama atarudi na mtoto kama ilivyokuwa kwa JB na Amida.
Kosa kubwa ni kuchanganya UJINGA na UVUMILIVU, ni vitu viwili tofauti japo vina mahusiano kidogo.
Amida Shatur anaweza kurudi Kwa Mpiana Maana Mme Wake Vital Kamerhe amehukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa ufisadi na wizi wa takriban dola milioni 50 za Marekani na Hali yake sio Nzuri Kiafya.Amida na Kamerhe.
Umesema wote. Mpaka Jay-Z Na Beyonce?Na kosa lingine kubwa ni kumchukulia MSANII kama role model au mtu wa kuigwa kwenye swala la mapenzi. Hao kina Mpiana, Masanja, Konde boy, Diamond, Whozu nk akili zao wote ziko sawa na huwezi kuchukulia serious kitu chochote wanachofanya..! We angalia wasanii wote duniani mapenzi yao yakoje.