Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

Huu ushauri unawafaa sana Utopolo
 
Wewe kuweza!? Chaaa!
 
Wengine wanazitumia Nyota za hao wanawake, hii dunia mengi hamyajui.

Konde boy pia hawezi kumuacha Kajala kwa sababu hiyo hiyo ya kutumia Nyota za wanawake kwenye mambo yao.

Inahitaji maturity ndio utaelewa nimeandika nini.
Kajala nae ana makandokando?
 
Ukipata unayempenda utasamehe kama Masanja
Binadamu huchukulia kama vile upendo ila mwishoni kabisa ni psychological torture ambayo itakuumiza sana kichwani mpaka unaingia kaburini. Mwanaume ni mwanaume na hakuna kitu alichonacho mwanaume kama fragile ego. Ukishaivunja hiyo ego kiasi kwamba mwanaume hawezi kuitengeneza hiyo ego basi huwa broken inside na mawazo ya huyo mwanaume huishia kwahuyohuyo mwanamke maana thought process yake imeshavunjwa. Hata uwe na pesa vipi, mwanaume akikosa ego basi hata kuishi kama mwanaume hawezi. Na mwanamke anayefanya hivyo kwa mwanaume huyo yaani kwenda na kurudi basi ujue alishajua point of weakness ya mwanaume husika na akafanikiwa kuivunja ego yake kiasi cha kumpelekea kuwa broken. Ila huo siupendo, labda ungeniambia plutonic love ambayo huishia kwa wazazi na ndugu watumbo moja tu. Ila romantic love, haiendi hivyo and that is a psychological issue.
 
Masanja hii kitu imemuumiza sana ila anajitutumua kitu ambacho in the long run kitakuja kumuumiza sana.
And that is a proven fact. Tuwaombee tu, ila mwisho wake sio mzuri maana hamna mtu anayependa akiwa na uchungu au madonda moyoni.
 
Reactions: Gru
Wewe umeolewa na kuachika mara ngapi? Mi nauliza tu. Maana inaonekana umetendwa sana dada.
 
Kwenye wimbo wake mmoja anasema mapenzi wanapendwa wenye pesa,masikini hawana kitu ndio maana yeye ameamua kutulia kwa hamida
Unaitwa feux del'amour anakwambia
Yango napona na ngai Amida, ata na mpasi tokovanda, ata bikedi tokolia, ata Thompson tokotonda
(Ndo maana nimemchagua Amida, hata kama kwenye magumu tunakuwa pamoja, hata kama kwa kula mihogo tu sisi tunaishi, hata kama Thomson tunakula (Samaki wa kukaushwa)
 
Kosa ambalo uwa SIMAMEHI NI USALITI.
na wanawake zangu wanajua.
Kukuacha ni suala la kufunga na kufungua macho.
Masanja wakati anaoa alileta mbwembwe nyingi sana.sasa watu wanamcheka kwa ule ushamba wake.
 
Kuna tofauti kati ya kuwa na Hela na kuwa Tajiri. Masanja ana Hela tu, ila JB Mpiana ndiyo Tajiri.
 
Kosa kubwa ni kuchanganya UJINGA na UVUMILIVU, ni vitu viwili tofauti japo vina mahusiano kidogo.

Na kosa lingine kubwa ni kumchukulia MSANII kama role model au mtu wa kuigwa kwenye swala la mapenzi. Hao kina Mpiana, Masanja, Konde boy, Diamond, Whozu nk akili zao wote ziko sawa na huwezi kuchukulia serious kitu chochote wanachofanya..! We angalia wasanii wote duniani mapenzi yao yakoje.
 
Umesema wote. Mpaka Jay-Z Na Beyonce?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…