Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

Umeanza vizuri lakini umemaliza vibaya,
Ina maana mzinifu hasamehewi?
YESU aliletewa mwanamke aliekamatwa akizini akaambiwa anatakiwa apigwe mawe hadi afe lkn akawajibu "yoyote ambae anahisi hana kosa basi achukue jiwe na ampige" wale waliomkamata walitokomea kusikojulikana.

Fahamu tu sisi upande wetu tumepewa nafasi ya kutubu kujutia makosa yetu, kama kwenu haipo poleni sana.

Ila mkuu mbona sijawahi waona mkipigana mawe kisa uzinzi? Au waislam hawazini?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Naam kwa simulizi yako hii, ni kwamba Mama kanisa atakwenda kucheza tena na muumini wake huko kisha atarudi kwa mumewe.
Bila shaka ndio maana ya FEEL FREE CHURCH.
 
Mpiana ni boya tu kama alivyo Masanja.

Haijalishi Masanja kaongea nini hadharani,ila hiyo ndoa yao haiwezi kuwa kama walivyoishi kabla ya hili.

Mandela aliwasamehe waliomfunga miaka 27 jela ila hakumsamehe mkewe kwa kinachodaiwa na Usaliti.
 
Angefanya maamuzi ya kuachana nae baada ya tukio angeumia sna yy mwenyewe lkn kwa hivi alivyofanya mwanamke ataomba kuondoka mwenyewe
 
Mama mchungaji kawaabisha sana wamama wachunguji wote nchini.
ni aibu na fedha tupu kujiita Mama mchungaji.
 
Maamaee
 
Amida wenyewe wanasema ana nyota kali sana, yaan ukiwa na Amida nyota yako pia inahamia kwake ndio maana baada ya hao wote kua nao hakuna aluyepata kua na muendelezo mzuri, JB (Jibe) hakutoa tena zile hit song, hao matajiri wamefirisika na mpaka sasa ameolewa tena huyo Dada na tajiri mwingine,
 
Watoto Kwa mpiana ndio busara kuu...mama anakwenda kuangalia watoto wake
 
Tu
Tuletee kwanza picha ya amida.. ndo tuendelee na mjadala
 
Nakumbuka Feux de ll'amour wimbo bora sana, anasema

"memoire na nga eyebi kaka kombo ya amida shatur"
 

Hii ngoma ni kali mpaka kesho.
 
Kwa akili zako hizi za kuunganisha mada ya siasa na mada ya mapenzi kwenye uzi mmoja
Kuna uwezekano mkubwa wa kusalitiwa ,
kuishi na mwanamke lazima uwe na uwezo mzuri wa akili wa kutenganisha Mambo na kuyapangalia
Sio kuchanganya changanya Mambo
 
Naam Mkuu,ndio huo,ngoma kali sana, anamuomba Mungu aite mtu mmoja mmoja amuulize angependa kuzaliwa familia masikini ?,yeye angekataa,angechagua kuzaliwa familia ya akina adam bombole
 
Siku yakikutokea ndio utajua UFE U uishi
 


Amida ni pisi kali sana huwezi fananisha na mke wa masanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…