Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

Acha kujidanganya
 
Mwana, wa kwangu akitoka tu nje ya lile geti pale kwa sababu za kingono nje na mimi, hatarudi tena hata afanyeje, ataenda popote hatapata msaada, inawezekana hujajua nini maana ya MWANAUME, Mpiana atakua ni mtoto wa kiume na si MWANAUME... MWANAUME yoyote ni SIMBA wa nyikani asiyetishwa, usifundishe watu ushoga shoga
 
Hawa watu wenye jina la Amida sio watu wa kawaida

Kuna mmoja niliwah mgonga baada ya kuona kazidisha mitego kwangu,nikavizia siku jamaa yake ameenda msiban nikamtumia kwa siku kama tatu nikajua kawa wangu
Jamaa alivyorudi akapewa taarifa kuwa nimekula demu wake,wakawa na ugomvi baadae wakayamaliza niliumia sana kuona wameyamaliza nikawa nataman nimpate tena nisugue ila demu akawa kama hana habari
Wakati fulani aliwah kusafir alivyotaka kurud nikaanza kumpanga nimdake huko huko kwa juu nimle ikibid hata nimpangishe mahali ili asirud kwa jamaa yake kabisa,kumbe demu alivyomjinga kesha mtaarifu jamaa yake kuwa siku fulan anarudi na wakati mimi ndo nilimtumia nauli
Ngoma ikabuma sikufanikiwa kumpata,lakin mpaka leo penzi la huyo mtoto Hamida nalimiss sana
 
Yaaan Hamida ni kicheche kama Jlo na kuzaa anazaa na hao mabilionea halafu JB kimya kama senge hivi[emoji57][emoji57]

Itakuwa ana kinukta si bure
 
Ukiona ivo ujue keshaona nyota yake ya utajiri, mvuto na bahati ziko kwa huyo mwanamke kwa hyo kumrudia sio kwa sababu anampenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…