Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

Vipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyeti
shukran sana mzee
 
mmmh 🤔🤔🤔 dunia ya leo hii ukamuoe mtot wa mtu alaf umemp manen matup tu pesa hauna utasaidiwa na wanaume wenzk kumtunz huyo mke
Umekaririshwa wapo wanaohitaji hio ndoa tu sio pesa hayo mengine watajengana wakiwa ndani pipa na mfuniko
 
Inategemean na alichosomea, interests, skills alizonazo na eneo alilopo

Ila generally, Asiuze laptop lakini pia ajichanganye kwenye conferences za vijana za tech,
Kama ana simu bhasi aingie twitter na linkedin na aingie serious kujifunza kwa vijana wenzie

Akijichimbia serious hawezi kukosa kitu cha kufanya japo hii tech industry nayo hadi upate watu wa kukulipa vizuri.. Lazma usote
 
na maisha bila kuconnection utasom mpk majengo yakudondkee mkuu
 
Vipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyeti
Hiyo social media management inabidi ajipange kiasi maana wabongo wengi kumpa mtu hela ya kuendesha social media page zao ni kipengele.

Hayo makampuni makubwa nayo yanazipa digital agencies ziendeshe pages zao kiasi kwamba wanaobakia ni hawa wa kawaida

Kizuri ulichoongea, tunapoelekea career nyingi zitahitaji mtu ajue mambo za online hususani social media management

Kwa anaeanza, social media management lazma uvijue vitu vichache hata basics zake

*content writing & copywriting
*graphic design
*photography & videography
*Marketing basics ili zikusaidie kwenye online advertising and promotions

NOTE
Unaweza manage social media page kishkaji ila kama unataka uwe vizuri bhasi itabidi uwe na uelewa wa hivyo vitu japo kidogo lakini pia uvumilie bei za kitoto wakati wa kujenga portfolio au CV yako hadi pale utapoaminika na wazito 🙏🙏
 
🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom