Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #61
amn mkuu ila yeye anatak idea ya kujiajiriNamshauri kijana mwenzangu ajishughulishe na chochote cha kumwingizia kipato mda unakwenda kuna maisha nje ya kazi za kuajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amn mkuu ila yeye anatak idea ya kujiajiriNamshauri kijana mwenzangu ajishughulishe na chochote cha kumwingizia kipato mda unakwenda kuna maisha nje ya kazi za kuajiriwa
mzik wa biashara ya vitunguu unaujua mzeeKwa maono yangu kupiga hatua kwenye biashara za kujumua na kuuza zinahitaji mtu aliyekuwa na uzoefu wa miaka miwili na kuendelea bidhaa nyingi zimepanda bei na zingine kuadimika kwa kijana anayeanza maisha anaweza kujikita kwenye kilimo cha muda mfupi kama vitunguu na mboga mboga
Ambao wana mfereji wa kunyonya keki ya taifa suala la ajira wanalichukulia poa sana na wengi wao wametoboa kipindi cha kitonga zama za jk na mkapa uko kama sio mwinyi kabisa ambapo fursa za ajira zilikua nje nje kidogo msoto wake sio kama sasa hivi ila nina uhakika hata wao wangekua fresh graduates kuanzia kipindi cha jpm wangesota kama sisi tu.Bado unachukulia simple, hapo kwenye mada anazungumziwa mtu ambaye yupo mtaani tayari hana capital hana source of income alafu unamwambia aende insta akafungue a/c hata hela ya kuendeshea hio a/c hana unategemea nini aanze kubahatisha?
amn mkuu swala la kwend kufngua account ig mmmh hapanaAmbao wana mfereji wa kunyonya keki ya taifa suala la ajira wanalichukulia poa sana na wengi wao wametoboa kipindi cha kitonga zama za jk na mkapa uko kama sio mwinyi kabisa ambapo fursa za ajira zilikua nje nje kidogo msoto wake sio kama sasa hivi ila nina uhakika hata wao wangekua fresh graduates kuanzia kipindi cha jpm wangesota kama sisi tu.
Hizi ndo mada sasa. Naendelea kufuatilia comment huenda zikanisaidia.Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya kupata ridhiki zao.
Sasa leo mchana nilikaa na ndugu yangu yeye kamaliza chuo lakini yupo tu mtaani, kaniuliza hivi kama nikikuomba ushauri nifanye kazi ili niingize kipato utanishauri nifanye kazi gani ghafla ghafla nimekosa jibu la kumpa.
Enyi wana jamiiforums naomba tushirikiane katika kutoa mawazo ya idea za biashara zenye uitaji wa mtaji wa kuanzia laki 1 na nusu hadi laki 3 ambazo zinaweza kuwasaidia hawa vijana wasio na ajira kuingiza kipato
Karibuni kwenye mjadala
Hawajui tunayopitiaamn mkuu swala la kwend kufngua account ig mmmh hapana
pamoja sana mkuu🤝🤝🤝Hizi ndo mada sasa. Naendelea kufuatilia comment huenda zikanisaidia.
life gumu sana mpk tushafirisika mawaz na hakun wa kutushika mkonoHawajui tunayopitia
Sasa hivi kichwa chako ndio ajira yako, kwa hio jiongeze mkuu jipe kazi wewe mwenyewe hakuna ajira zilizopo ni za mchongo nipe nikupe unataka kuingia lipia 200,000/- au 300,000/- HR akuweke akupe nafasi huna endelea kusota mtaaniAmbao wana mfereji wa kunyonya keki ya taifa suala la ajira wanalichukulia poa sana na wengi wao wametoboa kipindi cha kitonga zama za jk na mkapa uko kama sio mwinyi kabisa ambapo fursa za ajira zilikua nje nje kidogo msoto wake sio kama sasa hivi ila nina uhakika hata wao wangekua fresh graduates kuanzia kipindi cha jpm wangesota kama sisi tu.
ukwel ndo uo hauwez kupata kazi bila kutoa ajira lkn hy n inshu ya kuajiriwaSasa hivi kichwa chako ndio ajira yaiko, kwa hio jiongeze mkuu jipe kazi wewe mwenyewe hakuna ajira zilizopo ni za mchongo nipe nikupe unataka kuingia lipia 200,000/- au 300,000/- HR akuweke akupe nafasi huna endelea kusota mtaani
Naomba connection ya HR mmoja anaeweza kunifanyia mchongo mkuuSasa hivi kichwa chako ndio ajira yaiko, kwa hio jiongeze mkuu jipe kazi wewe mwenyewe hakuna ajira zilizopo ni za mchongo nipe nikupe unataka kuingia lipia 200,000/- au 300,000/- HR akuweke akupe nafasi huna endelea kusota mtaani
Idea gani kivipi mkuu?ukwel ndo uo hauwez kupata kazi bila kutoa ajira lkn hy n inshu ya kuajiriwa
tunamsaidia idea gn kijana anayetaka kujiajiri
Connection haziombwi hivyo mkuu na ingekuepo nisingekunyima mimi nimekwambia hali halisi ilivyo km ulivyoielezeaNaomba connection ya HR mmoja anaeweza kunifanyia mchongo mkuu
Connection zinaombwaje mkuu?Connection haziombwi hivyo mkuu na ingekuepo nisingekunyima mimi nimekwambia hali halisi ilivyo km ulivyoielezea
Pamoja na kufuatilia comment zote nataka kuongezea wazo hapa, mm pia ni muhanga wa ajira lkn sio mbaya maisha yanasonga nje ya box and i hope siku moja nitakua miongon mwa watakao kuwa na check no.Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya kupata ridhiki zao.
Sasa leo mchana nilikaa na ndugu yangu yeye kamaliza chuo lakini yupo tu mtaani, kaniuliza hivi kama nikikuomba ushauri nifanye kazi ili niingize kipato utanishauri nifanye kazi gani ghafla ghafla nimekosa jibu la kumpa.
Enyi wana jamiiforums naomba tushirikiane katika kutoa mawazo ya idea za biashara zenye uitaji wa mtaji wa kuanzia laki 1 na nusu hadi laki 3 ambazo zinaweza kuwasaidia hawa vijana wasio na ajira kuingiza kipato
Karibuni kwenye mjadala
pia nadhan pia nmemshaur aend kukaa sehem ambay hajulikan km mtu wa aibu sana ila itamchkua mda sana kuyazoea mazingir na kupata kaziPamoja na kufuatilia comment zote nataka kuongezea wazo hapa, mm pia ni muhanga wa ajira lkn sio mbaya maisha yanasonga nje ya box and i hope siku moja nitakua miongon mwa watakao kuwa na check no.
Daima nimejichanganya sana mtaani nimegundua ukitaka kupata pesa lazima ujitoe ufahamu au kwa mameno mengine ukubar kudharrika ndo utashika pesa.
Huyo mdau kama hana mtaji mwambie ajichanganye mtaani awe dalali wa usafirishaji mizigo au abiria.
Kupata elfu 15 mpaka 50 per day ni very simple, unaenda sehemu yenye ka mji kamechanganya kimtindo anakua na masela pale stend hakosi pesa hata kidogo, kutokana na hiyo pesa akikusanya anaweza kuanzisha biashar aipendayo au akaweka kambi maisha yake yote mpaka utumishi wamkumbuke.
Nenda kihesa Iringa utakutana na ma graduate ni ma agent wa mabus ya masafa marefu.
Wanafunga hesabu saa nne asbh.
Mkuu upo iringa? naomba tuchekiane tupeane mbinu nakuja inboxPamoja na kufuatilia comment zote nataka kuongezea wazo hapa, mm pia ni muhanga wa ajira lkn sio mbaya maisha yanasonga nje ya box and i hope siku moja nitakua miongon mwa watakao kuwa na check no.
Daima nimejichanganya sana mtaani nimegundua ukitaka kupata pesa lazima ujitoe ufahamu au kwa mameno mengine ukubar kudharrika ndo utashika pesa.
Huyo mdau kama hana mtaji mwambie ajichanganye mtaani awe dalali wa usafirishaji mizigo au abiria.
Kupata elfu 15 mpaka 50 per day ni very simple, unaenda sehemu yenye ka mji kamechanganya kimtindo anakua na masela pale stend hakosi pesa hata kidogo, kutokana na hiyo pesa akikusanya anaweza kuanzisha biashar aipendayo au akaweka kambi maisha yake yote mpaka utumishi wamkumbuke.
Nenda kihesa Iringa utakutana na ma graduate ni ma agent wa mabus ya masafa marefu.
Wanafunga hesabu saa nne asbh.
Kaka umeichukulia simple sanaSio kila kitu kinahitaji capital..je kuanzisha page Instagram mfano ya kuweka matangazo ya kazi Tu...unahitaji capital? Page ikiwa maarufu si utaishi Kwa matangazo?
We jamaa ur so brilliantConnection sio lazma ila inakupa shortcut tu. Ila kama huna connection itabidi uteseke na ufanye kazi mara tatu zaidi ya wenye connection ili upate kuonekana
Muwage na huruma aisee !!Kumbuka huyu dogo kamaliza chuo,anamatarajio makubwa .So anaporudi home mnataka awe mshona viatu au mchoma mahindi? Ni kumuumiza.Fikiri jamaa ambaye alimwacha la 7 ,ana bajaji yake.Then dogo na degree yake awe mchoma mahindi kweli?Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.