Kaka umeichukulia simple sana
Kutengeneza page insta hadi ikubalike na watu kukupa matangazo ya maana sio process ya kuchukua miezi miwili unless uanzishe page inayoshabihiana na ngono au uchawa wa mastar
Pia twitter au linkedin hazipo overcrowded lakini bado unatakiwa kuwa na area of expertise ya kukufanya ukuze following kwa haraka kupitia niche flani (yaani kuongelea kitu specific kwa watu specific)..
Labda Facebook kwa sababu haiki bundle lakini napo itabidi auze vitu kupitia magroup.. Maana hapa nina watu nawajua hawana maduka Ila smartphones tu, wanapiga picha za bidhaa kariakoo na kuzisukuma kwenye groups za Facebook hata 20 per day na inawalipa.
Ulichoongea cha ukweli au kitu nilichoexperience binafsi, hivi vitu ukivianzia chuo ni rahisi zaidi maana muda upo na hakuna presha wala expectations za nje. Ila kumshauri mtu kuhusu social media kwa sasa ambapo hata kuweka mb 500 per day ni mtihani , kazi ipo
CONTROLA njoo kitaa hiki.. Uwepo wako unahitajika brother