Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

Sijaona wazo la maana watu mpo nyuma Sana na Maisha ya halisi

Hiyo 300k Kama yupo dsm inamtosha kuendesha Maisha ya Biashara maana dsm bidhaa nyingi ni cheap and Affordable

Anaweza jaribu Kazi za Magurio na anatoboa vizuri easily.
 
Sijaona wazo la maana watu mpo nyuma Sana na Maisha ya halisi

Hiyo 300k Kama yupo dsm inamtosha kuendesha Maisha ya Biashara maana dsm bidhaa nyingi ni cheap and Affordable

Anaweza jaribu Kazi za Magurio na anatoboa vizuri easily.

Nadhani ingekuwa vizuri kama ungetoa mawazo yako bila kudogosha au kudharau mawazo ya watu wengine

Binadamu sote tuna experience tofauti, wewe waweza kuiona sifuri Ila mimi nikaiona duara na kila mmoja akawa sawa kwa angle yake

🙏🙏
 
Nadhani ingekuwa vizuri kama ungetoa mawazo yako bila kudogosha au kudharau mawazo ya watu wengine

Binadamu sote tuna experience tofauti, wewe waweza kuiona sifuri Ila mimi nikaiona duara na kila mmoja akawa sawa kwa angle yake

🙏🙏
Sawa uongo haufai
 
Kwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu mtaa, ni mkwamba mtaji wa laki 1 au 3 ni ngumu mno kutoboa (ingawa mtaji wakati mwingine siyo hoja sana), ila wachache sana wanatoboa na hicho kiwango cha mtaji. Sasa ninachoweza kumshauri ni kuweza kujitofautisha na vijana wengine kwa kujiongezea elimu zaidi, ujuzi na maarifa. Kwamfano anaweza akaomba kufanya kazi mahala kwa kujitolea ili kupata uzoefu na ujuzi zaidi, baada ya hapo atakuwa kwenye nafasi ya kuajirika, tena pengine kwa maslahi mazuri tu.
Mkuu kwa sasa nafasi za kujitolea ni kama kuomba kazi tu nazo mpaka connection
 
Mkuu sales ndo hizi naona vijana wanatembea na mabeseni mtaani?
Atafte kazi ya sales tu, hawezi kushinda njaa japo mishahara midogo ila kuna kaunafuu mkuu. Kazi za sales kuzipata ni rahisi kidogo kwa kuwa ni za kuhenya ila akipata connection na kampuni tu maisha yanakuwa mepesi.
 
huyo mtaftie mkataba wa bajaji hiyo laki muwekee kwenye ac yake.
Mwache kijana akakimbizane na maisha kama kasoma chuo atakua smart na atateka Soko chap na bajaji ni usafiri flan hukosi ruti kama uko town
 
Kama Imani inaruhusu na kwel unahitaji msaidia na kama kwel ana passion ya kufuga mdudu Kwa kwel atatoka shida mtaji na interest ..
 
Muwage na huruma aisee !!Kumbuka huyu dogo kamaliza chuo,anamatarajio makubwa .So anaporudi home mnataka awe mshona viatu au mchoma mahindi? Ni kumuumiza.Fikiri jamaa ambaye alimwacha la 7 ,ana bajaji yake.Then dogo na degree yake awe mchoma mahindi kweli?

Mimi nafikiri wazazi na walezi wa vijana walio maliza vyuo ndo mna matatizo makubwa.
Kwel umeongea kitu ,inahitaji roho ngumu sana kukubali mazingira la sivyoo utachanganyikiwa sana
 
Maisha saivi ni magumu kiukweli cha kumshauri ni kupta skills ambazo kupitia ubunifu ataingiza chochte kitu au kugeuza elim yake kuwa biashara yy mwenyewe
Chengine kma ataweza mimi ntajitolea ktka skills moja ambyo nnayo inaweza kumfaa na yy ni kutengeneza vipodozi kwa kutumia vitu vya asili atauza yy mwenyewe ni product ya jina lake anaweza nicheki kupitia 0742009965
Other idea ni mwanamme lakin ajira za siku izi hazichagui anaweza kufnya biashara ya matunda in a classic way kwa package nzuri anatngza kupitia mitandao na kuwapitshia watu majumbani feel free to ask
 
Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.

Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya kupata ridhiki zao.

Sasa leo mchana nilikaa na ndugu yangu yeye kamaliza chuo lakini yupo tu mtaani, kaniuliza hivi kama nikikuomba ushauri nifanye kazi ili niingize kipato utanishauri nifanye kazi gani ghafla ghafla nimekosa jibu la kumpa.

Enyi wana jamiiforums naomba tushirikiane katika kutoa mawazo ya idea za biashara zenye uitaji wa mtaji wa kuanzia laki 1 na nusu hadi laki 3 ambazo zinaweza kuwasaidia hawa vijana wasio na ajira kuingiza kipato

Karibuni kwenye mjadala

Kama ana mtaji wa 100k aanzishe biashara ya kuchoma mahindi au mishkaki, atakuja kunikumbuka.

Ushauri wangu, aache aibu, ajitupe.
 
Hii nchi. Ngumu sana,ajira ni shida mno,kwanza atayarishe CV yake vzr,aombe ajira hata kama hazijatangazwa,sehemu mbali mbali,serikalini,sekta binafsi,UN,harafu asahau,
Pili afundishe tuition,au kama ana GPA nzuri,aombe kuwa tutorial assistant.
Kama atakuwa amepita JKT,aombe kazi ya ulinzi,SGA,G4S,nk,wakati huo huo,atafute passport,iwe tayari kuzamia nje ikibidi.
Angalizo ajira nyingi za sekta binafsi,ni nadra sana kutangazwa,zinapita,na kujurikana kwa connections tu!
Najua ni ngumu kumeza,nimeyaandika kwa uchungu sana,ila sasa hv hari ya ajira ni ngumu kama kukamua Jiwe litoe damu!!
 
Ni kweli ajira hakuna lakini kazi zipo nyingi sana ......aongee na watu vizuri asiangalie vyeti vyake na elimu aliyonayo....( Cheti ni karatasi ya kawaida kama A4 zingine tu)
Tuongee basi vizuri mkuu vyeti nimeweka pembeni
 
Ajikague ndani yake ana maarifa na ujuzi gani, inaweza kuwa inatokana na alichosomea au kakipata nje ya darasa. Ana passion na nini/kipaji/kipawa chake ni nini.
Hatua inayofuata akague mazingira yanayomzunguka, ajiulize kupitia kilichoko ndani mwake, kipi anaweza kutumia na kikamuingizia pesa. Anaweza kuuza ujuzi alio nao ili apate msingi.
 
Mimi nilikuwa na wazo la kubadili maji ya chumvi kuwa fresh water. Maana eneo nililopo ni maji ya chumvi. Na washika dau wangu ni watu wa saluni na migahawa. Changamoto nataka kutumia distilation kama njia ya kufanya hvyo, ubaya wa hii njia inakula nishati sana na pia malighafi ya kuandaa kamtambo hako kdogo ni changamoto. Ila kwa hesabu za kawaida hukosi ya kula per day.
 
Back
Top Bottom