Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ajifunze animation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona wazo la maana watu mpo nyuma Sana na Maisha ya halisi
Hiyo 300k Kama yupo dsm inamtosha kuendesha Maisha ya Biashara maana dsm bidhaa nyingi ni cheap and Affordable
Anaweza jaribu Kazi za Magurio na anatoboa vizuri easily.
Sawa uongo haufaiNadhani ingekuwa vizuri kama ungetoa mawazo yako bila kudogosha au kudharau mawazo ya watu wengine
Binadamu sote tuna experience tofauti, wewe waweza kuiona sifuri Ila mimi nikaiona duara na kila mmoja akawa sawa kwa angle yake
🙏🙏
Sawa brother, pia samahani kama text yangu ilikuudhi in any way 🙏Sawa uongo haufai
Mkuu kwa sasa nafasi za kujitolea ni kama kuomba kazi tu nazo mpaka connectionKwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu mtaa, ni mkwamba mtaji wa laki 1 au 3 ni ngumu mno kutoboa (ingawa mtaji wakati mwingine siyo hoja sana), ila wachache sana wanatoboa na hicho kiwango cha mtaji. Sasa ninachoweza kumshauri ni kuweza kujitofautisha na vijana wengine kwa kujiongezea elimu zaidi, ujuzi na maarifa. Kwamfano anaweza akaomba kufanya kazi mahala kwa kujitolea ili kupata uzoefu na ujuzi zaidi, baada ya hapo atakuwa kwenye nafasi ya kuajirika, tena pengine kwa maslahi mazuri tu.
Atafte kazi ya sales tu, hawezi kushinda njaa japo mishahara midogo ila kuna kaunafuu mkuu. Kazi za sales kuzipata ni rahisi kidogo kwa kuwa ni za kuhenya ila akipata connection na kampuni tu maisha yanakuwa mepesi.
Unajifunza new skills una njaa?Kijana asie na ajira namshauri ajifunze new skills...skills zinazo husu technology hasa internet technology...baada ya mwaka Tu atapata ajira nono
Kwel umeongea kitu ,inahitaji roho ngumu sana kukubali mazingira la sivyoo utachanganyikiwa sanaMuwage na huruma aisee !!Kumbuka huyu dogo kamaliza chuo,anamatarajio makubwa .So anaporudi home mnataka awe mshona viatu au mchoma mahindi? Ni kumuumiza.Fikiri jamaa ambaye alimwacha la 7 ,ana bajaji yake.Then dogo na degree yake awe mchoma mahindi kweli?
Mimi nafikiri wazazi na walezi wa vijana walio maliza vyuo ndo mna matatizo makubwa.
Ziko za mabeseni, sumu ya panya ila kuna zile za magari kabisa mule ndio nazungumziaMkuu sales ndo hizi naona vijana wanatembea na mabeseni mtaani?
Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya kupata ridhiki zao.
Sasa leo mchana nilikaa na ndugu yangu yeye kamaliza chuo lakini yupo tu mtaani, kaniuliza hivi kama nikikuomba ushauri nifanye kazi ili niingize kipato utanishauri nifanye kazi gani ghafla ghafla nimekosa jibu la kumpa.
Enyi wana jamiiforums naomba tushirikiane katika kutoa mawazo ya idea za biashara zenye uitaji wa mtaji wa kuanzia laki 1 na nusu hadi laki 3 ambazo zinaweza kuwasaidia hawa vijana wasio na ajira kuingiza kipato
Karibuni kwenye mjadala
Tuongee basi vizuri mkuu vyeti nimeweka pembeniNi kweli ajira hakuna lakini kazi zipo nyingi sana ......aongee na watu vizuri asiangalie vyeti vyake na elimu aliyonayo....( Cheti ni karatasi ya kawaida kama A4 zingine tu)
Au sioSio kila kitu kinahitaji capital..je kuanzisha page Instagram mfano ya kuweka matangazo ya kazi Tu...unahitaji capital? Page ikiwa maarufu si utaishi Kwa matangazo?