Vipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyetihiyo elimu anawez kuipata kuptia vyuo gn mkuu
mmmh π€π€π€ dunia ya leo hii ukamuoe mtot wa mtu alaf umemp manen matup tu pesa hauna utasaidiwa na wanaume wenzk kumtunz huyo mkeAkioa akili itamkaa sawa AOE kwanza ndio motisha ya kupiga kazi itamjia bila hivyo soon tutampoteza kwenye kundi la wanaume mark my words
shukran sana mzeeVipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyeti
Umekaririshwa wapo wanaohitaji hio ndoa tu sio pesa hayo mengine watajengana wakiwa ndani pipa na mfunikommmh π€π€π€ dunia ya leo hii ukamuoe mtot wa mtu alaf umemp manen matup tu pesa hauna utasaidiwa na wanaume wenzk kumtunz huyo mke
Hivi unajua kwamba kuna idadi kubwa ya IT Technicians wenye hadi masters ila hawana ajira wapo tu mtaani?Vipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyeti
Unashauli mtu aoe si ndo anaongeza mzigoUmekaririshwa wapo wanaohitaji hio ndoa tu sio pesa hayo mengine watajengana wakiwa ndani pipa na mfuniko
Huyo kijana ni vema ungemshauri angejifunza ujuzi fulani ata veta biashara za mitaji midogo vijana wengi wa chuo hawawezi biashara ni ngumu Sanainawezekan ikaw kwel ila kukaa mtu bila kufanya kazi pia inawezkn ikawa n dalili ya mtu kushindwa kufkria msaada wa mawaz ya biashar unaitajk zaid
Unajua msoto na stress za kukosa kukosa ajira mkuu? yaani mtu hana mishe yoyote alafu unamuuliza ana future gani 5 years aheadUngemuuliza kwanza huyo ndugu yako ana future gani ndani ya miaka mitano ijayo anategemea apige hatua gani mana kukaa bila kufanya kazi ni dalili ya mtu kukata tamaa
πππUnajua msoto na stress za kukosa kukosa ajira mkuu? yaani mtu hana mishe yoyote alafu unamuuliza ana future gani 5 years ahead
πππ na kiukwel kwa jamii yetu n ngum sana mtu kuwa na future na hata km anayo bc ya pesa ndef sana ambay yy mwnyw hana uhakika km ipo ck anatakj kuishikaUnajua msoto na stress za kukosa kukosa ajira mkuu? yaani mtu hana mishe yoyote alafu unamuuliza ana future gani 5 years ahead
sawa mkuuHuyo kijana ni vema ungemshauri angejifunza ujuzi fulani ata veta biashara za mitaji midogo vijana wengi wa chuo hawawezi biashara ni ngumu Sana
Atamlisha nn?AOE ili asiendelee kupiga NYETO
Nitarudi baadae..
na maisha bila kuconnection utasom mpk majengo yakudondkee mkuuInategemean na alichosomea, interests, skills alizonazo na eneo alilopo
Ila generally, Asiuze laptop lakini pia ajichanganye kwenye conferences za vijana za tech,
Kama ana simu bhasi aingie twitter na linkedin na aingie serious kujifunza kwa vijana wenzie
Akijichimbia serious hawezi kukosa kitu cha kufanya japo hii tech industry nayo hadi upate watu wa kukulipa vizuri.. Lazma usote
Hiyo social media management inabidi ajipange kiasi maana wabongo wengi kumpa mtu hela ya kuendesha social media page zao ni kipengele.Vipo vyuo vya wahindi city centre lakini passion na utundu ndo muhimu zaidi....mda si mrefu kila kampuni itahitaji watu wa Ku run social media pages zao mfano....maeneo hayo utundu ni muhimu kuliko vyeti
me nipo naskilizia jibu la jamaa akikjb ntagAtamlisha nn?
π€π€π€Hiyo social media management inabidi ajipange kiasi maana wabongo wengi kumpa mtu hela ya kuendesha social media page zao ni kipengele.
Hayo makampuni makubwa nayo yanazipa digital agencies ziendeshe pages zao kiasi kwamba wanaobakia ni hawa wa kawaida
Kizuri ulichoongea, tunapoelekea career nyingi zitahitaji mtu ajue mambo za online hususani social media management
Kwa anaeanza, social media management lazma uvijue vitu vichache hata basics zake
*content writing & copywriting
*graphic design
*photography & videography
*Marketing basics ili zikusaidie kwenye online advertising and promotions
NOTE
Unaweza manage social media page kishkaji ila kama unataka uwe vizuri bhasi itabidi uwe na uelewa wa hivyo vitu japo kidogo lakini pia uvumilie bei za kitoto wakati wa kujenga portfolio au CV yako hadi pale utapoaminika na wazito ππ
hatar tupuwatu wanasema tu fursa kibao mtaani mara jiajiri ila uhalisia wa kitaa ulivo + njaa iliyoko mtaani .ahsante mungu nina access ya msosi na bando ila bachela ya uchumi bdo haijanipa michongo striti