Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mkuu karibu sana na tumbane sana naamini mtaji wa kwanza ni afya njemaWewe ni lijamaa fulani ambalo watumishi ambao akili zetu zimeharibiwa na ghiriba za maisha tunatamani tukuandikie barua za kuomba uwe rafiki yetu Ila tunaona aibu maana unaweza kukataa .
Bro ,heshima yako ,naweza kuwa mshikaji wako wa damu na jasho ?
Ujumbe wa maana kabisa huu mkuu.KONGOLE NYINGI KWAKOBinadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kazi yakufanya,maadamu ni halali,mwenye elimu yake anaweza hata kufungua darasa la watoto akafundisha hata chini ya mwembe,akajiingizia kipato,dunia hii omba sana tu,mungu akujaalie uendelee kuwa na afya, maana mtaji wa kwanza ni huo.
Shukrani mkuu ,limekwisha hilo .Mkuu karibu sana na tumbane sana naamini mtaji wa kwanza ni afya njema
Nimekurudia mkuu. Kuna jamaa ni kiwete (miguu iliyopinda kama yule aliwahi cheza kwa rose muhando wimbo wa nibebe) nadhani nimeweka picha halisi alivyo. yule jamaa ana baiskeli zao zile za kuendesha na mikono. Ameshajenga kakibanda kakujikinga na jua na mvua na hapo huwa ana pampu ya kujaza upepo wa baiskeli na pia huuza ndizi na miwa japo zamani alikuwa anauza ndizi tu na hiyo pampu ambayo utajaza wewe mwenyewe na kumpa mia ama mia2 kila ukijaza.Binadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kazi yakufanya,maadamu ni halali,mwenye elimu yake anaweza hata kufungua darasa la watoto akafundisha hata chini ya mwembe,akajiingizia kipato,dunia hii omba sana tu,mungu akujaalie uendelee kuwa na afya, maana mtaji wa kwanza ni huo.
Ulanzi upo iringa sio? Siku nikifika huko muhimu sana nipate pate kidogoShukrani mkuu ,limekwisha hilo .
Kikubwa wapuuze wahuni wataokuja PM kukuambia Mimi sio mtu mwema maana naona wanachofanya ni kulike haya maongezi yetu ya thamani Sana .
Anyway mkuu karibu ulanzi bwana
Asante mkuu,pongezi sana kwa huyo rafiki yako, mhimu sana watu tujitambue,mungu kashatuumba na ufahamu wa mambo,haijalishi ukoje kimwonekano,kiumri nk,unatoboa ukiwa na nia.Nimekurudia mkuu. Kuna jamaa ni kiwete (miguu iliyopinda kama yule aliwahi cheza kwa rose muhando wimbo wa nibebe) nadhani nimeweka picha halisi alivyo. yule jamaa ana baiskeli zao zile za kuendesha na mikono. Ameshajenga kakibanda kakujikinga na jua na mvua na hapo huwa ana pampu ya kujaza upepo wa baiskeli na pia huuza ndizi na miwa japo zamani alikuwa anauza ndizi tu na hiyo pampu ambayo utajaza wewe mwenyewe na kumpa mia ama mia2 kila ukijaza.
Siku moja ikanibidi tupige story kadhaa hapo ni baada ya kunizoea nikipita pale hata kama sina nia na ndizi ama muwa nitanunua tu ikibaki hata jero ama buku siombi chenchi na muachia hivyo tukawa marafiki.
Basi siku hiyo ikabidi nimchokoze kumuulize wewe kaka mkubwa uliwaza nini hadi ukafungua hapa kibanda na kimekuwa msaada sana? kwa kifupi aliongea mengi sana ila point kuu niliyotoa pale akasema hapendi kuomba omba kama wale wengine wanao pita mtaani wakisukumwa huku wamebeba vikombe wakiomba hela kwa watu..... tulipiga story nyingi hadi akaniambia siku moja basi niende kwakwe.
Nikamuahidi nitaenda na kweli siku ikafika nikaenda nilipofika nikakuta jamaa yule kajenga nyumba2 za mgongo wa tembo ile moja nahisi ilikuwa vyumba2 na sebure halafu ile sisi tuliyokaa na kula kuku pale il;ikuwa chumba na sebure.
Nilimpongeza sana na bahati nzuri watoto wake shuleni wanabukua vizuri mno asee.Niliwiwa kumpa 50k cash na hapo hapo akasema kesho naanza kuuza mafuta ya petrol kwa ajiri ya waendesha pikipiki maana huwa wanapita pale mafuta yamewaishia!! Mkuu nilijisikia furaha kubwa mnoo kubwa mno moyoni mwangu baada ya siku kadhaa kupita pale nikakutapa kweli kuna makopo kama 5 hivi ya mafuta hadi ya buku anayo pale.Sikuona shaka tena nikamuongeza 50k nyingine nikawambia hii sasa shemeji kampe nae 20k hii ya kula tu..Tukataniana nikaondoka.
Hii nitajihidi nipige picha niweke hapa hapa ili watu waamini kuwa nikweli. Nikibahatika kupita anga hizo nitampiga picha rafiki yangu huyu tena kwa kumuoma kuwa nakupost hawezi kataa.
Japo lilinigusa kwenye comnment yako ni hili....Binadamu yeyote haijalishi ana umri wa miaka mingapi,maadamu anahitaji chakula,ni mhimu akafanya kazi yoyote halali kwa kadri awezavyo,badala yakukaa hivi hivi bila kazi yakufanya,akakate ata kuni porini auze apate mtaji,afuge kuku nk, kidogo kidogo atapanda kimtaji nakuingiza kipato,,ajichanganye na watu na asichague kaz.............
HakikaAsante mkuu,pongezi sana kwa huyo rafiki yako, mhimu sana watu tujitambue,mungu kashatuumba na ufahamu wa mambo,haijalishi ukoje kimwonekano,kiumri nk,unatoboa ukiwa na nia.
Hapana Kaka hata mbeya upo .Ulanzi upo iringa sio? Siku nikifika huko muhimu sana nipate pate kidogo
Msitiri tu japo ni promotion pia ungemfanyia,Ahsante mkuu.Binafisi msomi anayechagua kazi na awe mwanaume ni wakuonewa huruma sana.Wapo wengi hii ni mifano michache tu mwingine kiangazi hiki kilichopita kaanza kupamba kwenye sherehe huko kijijni na analipwa 20-30k. Ksomea butimba pale huwa anakuja kabisa nyumbani kuwa shangaa kuku maana mi nafugia kwa wazazi kuku wangu. Ajabu ni kwamba hata kujifunza wala kuuliza naqwezaje kwa miaka hiyo yote hajawahi uliza ..kajitolea hadi shule zika mchoka ndo akabuni hii kazi ya upambaji (mapambo)
Na yenyewe ukiangalia tu unaona wazi kabisa hii kazi inafanywa na mtu asiye na elimu hata kama tatizo ni mtaji lakini kwa namna ya utandawazi wa sasa hata ukiingia youtube unajifunza maarifa mapya kila uchwao.
Ningeweka picha zake hapa maana hupost facebook kazi zake lakini sitaweza.
hana hiyana huyo muungwana,Wewe ni lijamaa fulani ambalo watumishi ambao akili zetu zimeharibiwa na ghiriba za maisha tunatamani tukuandikie barua za kuomba uwe rafiki yetu Ila tunaona aibu maana unaweza kukataa .
Bro ,heshima yako ,naweza kuwa mshikaji wako wa damu na jasho ?
Noma sana, wana sijui huwaga wanafeli wapi yani!!kwamba anajiona yuko kama u18 halafu eti kuoa sio kipaumbele chake dah π
Mheshimiwa ,usilolijua ni sawa na usiku wa kiza .hana hiyana huyo muungwana,
ila nadhani wasomi wasio na ajira ndio wanamuonea aibu zaidi, kitu ambacho sio kizuri. Ni muhimu kujishusha na kuvumilia kwa kipindi kifupi tu na mambo yanaweza kua mazuri zaidi kiuchumi.
Tusione aibu kuambatana na kuandamana na waliofanikiwa kiuchumi, waliofeli wametuchelewesha na kutukatisha tamaa sana sana ndrugu zango π
Ndio mfumo wa maisha ulivyo.sure,
but tunaweza kusaidiana tukafanana kwa sehemu,
kwasababu wengine wako mbele mno, wengine wako nyuma sana na wengine hawaelewiki wako wapi na haijulikani wanaelekea wapi π
nini maana ya uduvi
40 yrs ni Kijana!?My Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?
Kumbuka pia kijana hana ajira, biashara wala hajishughulishi na chochote, huku umri wa kuajiriwa nao unamtupa mkono kimasihara masihara tu.
Nimeonelea ni muhimu kusaidiana kwa mawazo na matendo, na zaidi sana kuaambiana ukweli, lakini pia kuonyeshana njia muafaka ya kutoka kwenye huo mkwamo wa kifedhea wa maisha wanayopitia.
Kumbuka, kijana akiambiwa suala la mchango tu, baada ya kuplage anazima na simu kabisa maana ni mtu mzima lakini hana jambo lolote kiuchumi.
Ni upi ushauri wako kwa vijana katika msimu huu wa kilimo na mwaka mpya2025?[emoji205]
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Mheshimiwa ,usilolijua ni sawa na usiku wa kiza .
Issue iko hivi ukiwa umeajiriwa Tena vijijini uwa tunajihisi kuwa sisi ndiye wenye haki ya kuwa matajiri na kuwa na uchumi mkubwa kisa mwisho wa mwezi tunakinga tumikono twetu ATM
Sasa ikitokea mtu Kama huyu jamaa ambaye amesema Mimi nimekuwa rafiki yake wa damu na jasho ,uwa Kuna ile karoho fulani ka kwanini yeye ,ni hapo Kama ni mtendaji au ,mwalimu ,daktari au hata polisi kata tunagenerate roho mbaya juu ya huyo mtu hata kuomba ukaribu naye unakuwa unahisi wenzio watakuona snitch .
Ni hivyo mheshimiwa ,Ila vipi bwana ofisini kwako hapo huna mpango wa campain manager mwaka huu Kaka ? Najiona nikiwa vizuri kabisa mheshimiwa nikumbuke mwenzio na Mimi walau nizurule kidogo mijini mheshimiwa π
hebu muelezee kwa kina kifupi, na kisha mpatie mawaidha kwa faida ya wadau gentleman π40 yrs ni Kijana!?
Akae mbali na Ccm na asiwe chawa Kama kaka yake mwenye 50+ Ila analipwa 7K Kwa uchawaMy Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?
Kumbuka pia kijana hana ajira, biashara wala hajishughulishi na chochote, huku umri wa kuajiriwa nao unamtupa mkono kimasihara masihara tu.
Nimeonelea ni muhimu kusaidiana kwa mawazo na matendo, na zaidi sana kuaambiana ukweli, lakini pia kuonyeshana njia muafaka ya kutoka kwenye huo mkwamo wa kifedhea wa maisha wanayopitia.
Kumbuka, kijana akiambiwa suala la mchango tu, baada ya kuplage anazima na simu kabisa maana ni mtu mzima lakini hana jambo lolote kiuchumi.
Ni upi ushauri wako kwa vijana katika msimu huu wa kilimo na mwaka mpya2025?π
Mungu Ibarki Tanzania