Kuna nchi zaidi ya 54 za kiislamu lakini mpaka leo wapo busy na dini na hawatengenezi chochote zaidi ya kujitawaza.Huu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Weye unatumia kibiriti from SomaliaKuna nchi zaidi ya 54 za kiislamu lakini mpaka leo wapo busy na dini na hawatengenezi chochote zaidi ya kujitawaza.
Nchi za kiislamu zinatengeneza nini?
Ukiwa kafiri hata akili zako zinakuwa sawa na kukuWaislam wajinga sana,
Yaani wanaamini
*mtu anaweza kwenda kumhijia mwingine
Mtu ukifa hakuna Dua itabadili malipo ya matendo uliyofanya mwenyewe. Hakuna sadaka ya kubadilisha hatima yako mkuu. Uislam ni ujinga
Huu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Usimpangie mtu matumizi ya pesa zake katafuta mwenyewe... Hakuna aliyekufa akajakukwambia chochote nn kinaendeleaHuu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Ila mbona kiuhalisia inaonekana wewe mjinga zaidi ya hao waislam tena wewe mjinga wa grade one kabisaaaWaislam wajinga sana,
Yaani wanaamini
*mtu anaweza kwenda kumhijia mwingine
Mtu ukifa hakuna Dua itabadili malipo ya matendo uliyofanya mwenyewe. Hakuna sadaka ya kubadilisha hatima yako mkuu. Uislam ni ujinga
kwasababu madrass wankaririrshwaHuu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.
Ok twende kwa hoja, mi ujinga wangu ni nini then nikwambie ujinga wa maislamIla mbona kiuhalisia inaonekana wewe mjinga zaidi ya hao waislam tena wewe mjinga wa grade one kabisaaa
Hilo kusema waislam wajinga wakati sio wajinga ndio ujinga wakoOk twende kwa hoja, mi ujinga wangu ni nini then nikwambie ujinga wa maislam
Mi nasema waislam ni wajinga hoja ya kwanza kama hii aliyoandika mleta mada kwamba mtu mwingine anaweza kwenda kuhiji kwa ajili ya mwingine ambaye alishakufa zamani. Pia niliwahi kumsikia sheikh mmoja anasema unaweza kusoma Quran kwa ajili ya marehemu wako na thawabu zikawa zake. Sasa ni akili gani inayojitambua ikaamini upuuzi huu?Hilo kusema waislam wajinga wakati sio wajinga ndio ujinga wako
Sidhanii kama unaweza kua na hoja badala ya vioja
Haya twende kwa hoja kama utaziweza!!!