Unamsomesha mwanao international school, madrasa unamnyima?

Upuuzi hapo uko wapi???
 
Na alokwambia kama marehemu tu ndio anahijiwa nani
 
Hivi wewe una akili? Unatoka huko Mchambawima. Elimu ya dini ili iweje? Are you out of your mind? Nchi yetu imekuwa ya kipumbavu sana kwa sasa.
 
Na alokwambia kama marehemu tu ndio anahijiwa nani
Kwani hii mada ya huyu jamaa hujasoma au! Mi sijasema marehemu tu, point ni kwamba haiwezekani kabisa kuhiji mtu mwingine Kisha thawabu ziwe na mwingine kama vile isivyowezekana dhambi afanye mwingine na adhabu ya moto iende kwa mwingine.
Kuamini kuna kuhiji kwa ajili ya mwingine huo ndo ujinga wa waislam
 
🤣🤣🤣
Ndio maana nikwambia kule juu mbona kama wewe ndio mjinga ulopitiliza mipaka
Mfano tu kwa wasiokua waislam ikiwemo wewe
Baadhi ya Marais ama viongozi fulani wanaamrisha watu waue ila wao hawauwi na mwisho wao ndio wanahukumiwa kwani wao ndio wauaji
Yaani kuna majambo hapa hapa duniani tu yanawezekana itakua huko juu
Mtoa mada hoja yake nimeielewa sana
Ila wewe ndio unatoa hoja zisizo na mashiko
 
Ok twende vizuri,
Mfano wako mzuri wa mtu anayetuma watu waue. Haya niambie marehemu anapataje thawabu za kuhiji kwa Mtu mwingine! Yeye marehemu amehusika vipi kwenye hilo tendo?
 
Angalia comment yangu ya juu kabla ya hii, nimesahau kukutag
 
Safi! Madarasa ni mambo ya kiarabu, dini zililetwa kupumbaza akili hasa ya mwafrika, ndio maana ulimwengu wa tatu ndio wafia dini wapo.
 
Kuwapeleka watoto madrasa ni kuwadumaza akili tu,yaani waste vitu vya maana shuleni halafu wakasome na nonsense madrasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…