Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

Kwa kweri sijaelewa kabisa jamaa alichokiandika, atleast kwenye link aliyopost ndo nimeelewa. Next time tulia unapoandika kitu kwa jamii ili tuweze kuelewa.
Wakuu Kuna namba ya simu na link pia ningeweka nikisema niandike hapo kila mmoja atasema ajaelewa kivyake
 
Ndugu zangu mwenetu NyegereBOY katuletea mchongo hapa jukwaani.
Ili kuondoa wasiwasi wa kutapeliwa mliopo DAR jitahidi by J3 muende makao makuu ya YAS pale Kijitonyama mkaulize juu ya huu mchongo.
 
Naomba unielezee kazii inavyo fanyikaa maana umesema aiitaji frame Kwa Hy watu watapatia wap huduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…