Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

Kwanza wameshabadilisha kila kitu sio tigo tena ni yas, sasa ww iyo website yenye neno tigo umeitoa wapi

Pili, yani tigo wenyewe wasiitangaze huduma yao uje kutangaza ww, ww ni kama Nani hasa huko tigo hq?

Yani umeweza kuandika paragraph zaidi ya kumi lakini umeshindwa kutaja huduma uyotoa?

Na bado kuna watu watapigwa hela kupitia huyu, hebu tutumie akili zetu vizuri
 
1. Wametangaza kubadili Jina na jina linalotumika Kwa sasa ni YAS kweli kabisa lakini ngoja nikujuze kitu mdau wa nguvu kubadilisha jina haimaanishi ndio kubadilisha huduma na KUMBUKA wamebadili brand ambayo ilikuwa inatumika kwenye bidhaa zao so most of things vinaendelea kubadilika mdogo mdogo mfano Tigo pesa app Bado inasoma Tigo pesa unataka kunambia ile Sio ya tigo ? Sio kweli hivi vitu huchukua mda na ndio maana baadhi ya laini Bado zinasoma Tigo haimaanishi Sio za Yas

2. Sio kila huduma hutangazwa Kwa kila mtu zipo huduma nyingi unazitumia ambazo hazijatangazwa kwako unajua kwanini ni kwasababu Sio kila huduma ya kila mtu Mfano unajua Tigo Wana Fiber ? Je mtu wa mwanza nikimwambia Wana fiber ataniamini ? Hawezi kwakuwa hajaiona ila wakazi wa bunju na mbweni wanaifahamu kwakuwa ipo , hivi unafahamu Tigo Wana DATA CENTER hapa Tanzania na wanatoa huduma ya kuhifadhi data zako ! Naimani hujawahi kusikia kwakuwa Sio muhusika ila walengwa wanaifahamu

3. Sijaja kutangaza biashara yangu nimekuja kusanua wadau na vijana kama Mimi wapambanaji wake fursa zipo sehemu nyingi

Kama una swali uliza hapa usipotoshe kwakuwa tu uwelewa wako katika jambo Hilo ni mdogo
 
images (9) (1).jpeg
 
Mkuu wewe ndiyo ulitakiwa kuzungumza kwa uwazi kama ulivyofanya sasa.
Isingewezekana kuandika kila kitu na pia sio sawa kuropoka kitu usichokijua kama baadhi ya wadau walivyofanya bila kujua kwasababu tu hawakujipa nafasi ya kuuliza nishasema kama unahisi mahali hujaelewa nitakujibu hii yote kwakuwa nasimamia ninachokiamini ila sipingi mawazo ya wengine pia mkuu 🙏
 
Taja baadhi ya huduma au bidhaa ushawishi watu kubofya link yako.
 
Taja baadhi ya huduma au bidhaa ushawishi watu kubofya link yako.
Nimeshafanya hivo mkuu ila ntakutania chache

FTTX ( Fiber to home/office )
5G unlimited
SOHO
Bulk sms
DIA
Mjasiriamali

Haya unataka kujua ipi mkuu
 
Porojo nying January hii mzee usije ukawa TAPER
Mkuu kutoa maoni yangu na mtazamo wangu usikufanye kutoa hukumu na kujihalalishia hukumu
Unaweza sema nimekutapeli nini ?

Umeuliza ukathibitisha kuwa ni utapeli au laaah
Ajipe nafasi ya kuhoji basi itakusaidia
 
Yaani unamshauri mtu aachane na biashara ya miamala iliyo wazi halafu afuate hii ya kwako isiyoeleweka mpaka uwashawishi watu kwa nguvu? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom