Kwanza wameshabadilisha kila kitu sio tigo tena ni yas, sasa ww iyo website yenye neno tigo umeitoa wapi
Pili, yani tigo wenyewe wasiitangaze huduma yao uje kutangaza ww, ww ni kama Nani hasa huko tigo hq?
Yani umeweza kuandika paragraph zaidi ya kumi lakini umeshindwa kutaja huduma uyotoa?
Na bado kuna watu watapigwa hela kupitia huyu, hebu tutumie akili zetu vizuri