Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Lakin sis si hata mie nilikwambia ninae shem wako hukuraka kunisikiliza au kwa vile hayuko jf kunipambania😂

Huu mvurugana umeusababisha wewe sisy im sorry😂

🤣🤣🤣🤣🤣Daaah,huna huruma Unataka nimsabishie mstaafu wangu kiharusi!?hebu tuache we mtoto
Basi na mie niache na mlamba lips wangu😂.
 
Tatizo humu kuna wanaume wana ID za kike, unaweza kupandishana naye mzuka na inbox kama zote kumbe ni dume jameni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…