Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Blaza alijiweka nyuma nyuma kama spear tyre tatizo š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Blaza alijiweka nyuma nyuma kama spear tyre tatizo š
Sema safi salama, utanipa mdogo wako mwengine ila sio Clepatina. Yule bado mchanga kwenye gameš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Si unajua biashara ni asubuhi, wacha nitafte jimbo jingine.Bora umemuelesha maana vijana wa siku hizi wako speed kwenye Mali za kaka zaoš
šššMganga wetu konk hapo ndo tupo siku ya pili tukifika ya kumišššwatakuwa wengi zaidi mafusho oyeeš@Aaliyaah Naona mafusho yameanza kufanya kaziiš¤šš„°š„°!!!
šššMganga wangu konk hapo ndo tupo siku ya pili tukifika ya kumišššwatakuwa wengi zaidi mafusho oyeeš
ššššš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Baba Swalehe uliniquote halafu sijaona comment
Mbona unacheka?ššššš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Acha kabisa hali ni tete eti š!Ina maana soko limekuwa gumu kiasi kwamba mnatumia hadi mzizioloji
šššššššMbona unacheka?
Chizi wewe š¤£š¤£ššššššš
Hahaha !Chizi wewe [emoji1787][emoji1787]
Lakin sis si hata mie nilikwambia ninae shem wako hukuraka kunisikiliza au kwa vile hayuko jf kunipambaniaš
Huu mvurugana umeusababisha wewe sisy im sorryš
Basi na mie niache na mlamba lips wanguš.š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Daaah,huna huruma Unataka nimsabishie mstaafu wangu kiharusi!?hebu tuache we mtoto
Usijali shemela wangu wa ukweliHem niache nile maisha na kigoli wangu @Joannahš
Piga chiniBasi na mie niache na mlamba lips wanguš.
Hili pia ni jangaTatizo humu kuna wanaume wana ID za kike, unaweza kupandishana naye mzuka na inbox kama zote kumbe ni dume jameni...