Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Lakin sis si hata mie nilikwambia ninae shem wako hukuraka kunisikiliza au kwa vile hayuko jf kunipambaniašŸ˜‚

Huu mvurugana umeusababisha wewe sisy im sorryšŸ˜‚

🤣🤣🤣🤣🤣Daaah,huna huruma Unataka nimsabishie mstaafu wangu kiharusi!?hebu tuache we mtoto
Basi na mie niache na mlamba lips wangušŸ˜‚.
 
Tatizo humu kuna wanaume wana ID za kike, unaweza kupandishana naye mzuka na inbox kama zote kumbe ni dume jameni...
 
Back
Top Bottom