πππππheeeeeeeImeniponza Hadi nimeitwa tomboy...Yaani kifupi nimejimiss
Unachat na Equation x hapo. Chonde chode mkuu π πNialiamka vizuri sana naona Analyse anataka kuharibu siku yangu, anakutaja hovyo swiorrt
Yesu wangu msaidie huyu kakaπNaomba niifuate huruma yangu niipokee kama kwel nahurumiwa..
Ohoo usiwe mkoboaji lknππππππsijui nijibadilishe π
ila we mtu daahπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππΌSio kweli mkuu, humu ndani jokes nyingi tu. Ngoja sasa nikupe Siri
Half american account yake nyingine ni Leejay49
Glenn account yake nyingine ni Evelyn Salt
Analyse account yake nyingine ni Lenie
Gily account yake nyingine nadhan unaijua π π π
Sasa zile comments zote unazoona, kila mmoja wetu alikuwa anacomment na account moja,Kisha anaenda kujijibu na account nyingine π π π .
So usipate stress mkuu, na ww fungua account yako ya kuwapanikishia watu π π π
Natania, lakini nipo siriasi π π
Niko poa,,naona kitambo nikajiuliza sijui tunapishana wapi?Niko nakimbizana huku πππnatafuta hela ya vicoba my wangu
Nimekumiss zaidi dear wangu
Uko poa?
Mwanaume anaomba huruma?Yesu wangu msaidie huyu kakaπ
YEsu ameshanisaidia ..kilichobaki ninmsaada wako tuuYesu wangu msaidie huyu kakaπ
Glenn unaharibu arifu..Mwanaume anaomba huruma?
Simba huomba huruma ya swala?
Shtuka hakuna mtu hapoπ
Wabongo Wana dogo Kwaniπ€π€π€eti mtu kastuka kabisaπ€£π€£π€£πππππheeeeeee
Kiukweli hata Mimi Nina mashaka, equation x una account ngapi wewe? π πImeniponza Hadi nimeitwa tomboy...Yaani kifupi nimejimiss
Nini tena mpwa? π πila we mtu daahπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππΌ
limao linakuhusu kwa hangover uliyonayo
kwahiyo kumbe watu tunajianzishiaga nyuzi na kujitag,, we mjomba hapanaπππNini tena mpwa? π π
mimi hapa mkuu
Kuwa makini mpwa. Humu kuna watu Wana accounts 3 na huwa wanajitag kwenye matukio π π π .kwahiyo kumbe watu tunajianzishiaga nyuzi na kujitag,, we mjomba hapanaπππ
Nashindwaga nikuite $ister or bro ujuemimi hapa mkuuπ