Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

Sio kweli mkuu, humu ndani jokes nyingi tu. Ngoja sasa nikupe Siri
Half american account yake nyingine ni Leejay49

Glenn account yake nyingine ni Evelyn Salt

Analyse account yake nyingine ni Lenie

Gily account yake nyingine nadhan unaijua ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Sasa zile comments zote unazoona, kila mmoja wetu alikuwa anacomment na account moja,Kisha anaenda kujijibu na account nyingine ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

So usipate stress mkuu, na ww fungua account yako ya kuwapanikishia watu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Natania, lakini nipo siriasi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
ila we mtu daah๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
 
Niko nakimbizana huku ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€natafuta hela ya vicoba my wangu

Nimekumiss zaidi dear wangu

Uko poa?
Niko poa,,naona kitambo nikajiuliza sijui tunapishana wapi?

Vicoba vitatutoa roho sie jamani๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
kwahiyo kumbe watu tunajianzishiaga nyuzi na kujitag,, we mjomba hapana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuwa makini mpwa. Humu kuna watu Wana accounts 3 na huwa wanajitag kwenye matukio ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

ID yoyote ikikufata pm, niambie kwanza. Unaweza kuta unatongozwa na mtu mmoja, ila kupitia ID tatu tofauti ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom