Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Anadhani siku ya muungano inasherehekewa kwa siku mbili, kama Idi mosi na idi pili 😅😅Kanaonekana hakapendi kusoma haka kadenti🤣
Haiwezekani ashinde Jf na anatakiwa awe kitandani saivi akijiandaa na mchakamchaka wa shule kesho